Recent content by Ossasso

  1. O

    Nahitaji msaada wa kisheria

    Una leseni ya kufanya biashara ya kukopesha?
  2. O

    Huduma za Mitandao ya Simu

    Mitandao ya simu Tanzania kucharge wateja wake kwa njia ya vifurushi wakati coverage katika mitandao yao sio nzuri, Wakati mwingine muda wa kifurushi unakwisha kabla ya mteja kuweza kutumia hata 50% ya kifurushi hasa vifurushi vya data. Mtandao uakuja unaondoka. Hili sio JIPU? :lock1:
  3. O

    Sheria inasemaje kuhusu mkataa ambao haukufuata sharia ya nchi?

    Nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya wana jf wa jukwaa hili la sheria. Mahaka ya Tanzania inatambua mkakataba ambao umevuja sharia ya nchi? Natanguliza shukrani..
  4. O

    Ushauri: Biashara ya kukopesha

    Sidhani kama sheria inaruhusu kukopesha kwa riba kama hujasajiliwa na bank kuu na TRA. Hutakuwa hunavunja sharia ya nchi.. Naoma maelezo ya kisheria kama kuna mwanasheria.
  5. O

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hivi nanihakuwepo Tanzania? Vijana au serikali? Kichwa cha habari hapo juu kimenigusa.. "SELIKARI KUSAIDIA VIJANA"
  6. O

    Nimesikiliza audio ya Didas Masaburi, anatakiwa kushitakiwa kwani anaratibu vijana wengine

    Hivi yule jamaa wa CCM aliyekamatwa Ukonga akinakili majina ya wapiga kura na numba za vitambulisho vya kupigia kura alifanywa nini? Naomba maelezo ya Polisi na Tume ya uchaguzi. TCRA inapaswa kuwa proactive na kuwazawadia wote watakao upload hiyo Adio clip.. “Risk vs Opportunity”. Huo ndio...
  7. O

    Nahitaji kufanya biashara, nina 1 million, nipo DSM

    Mimi nina 5 Milioni nataka kukopesha kwa riba ya 25% kwa mwezi .. anaruhusiwa kufanya hivyo kisheria??
  8. O

    Mradi wa kukopesha pesa

    Mtu akikurusha ikoje kisheria kama huna leseni ya banki Kuu .. Naomba ufafanuzi..
  9. O

    Nakopesha kwa riba

    Kisheria inaruhusiwa kufanya hii biashara bila leseni?
  10. O

    Biashara ya kukopesha pesa kwa dhamana

    Inaruhusiwa kisheria ? ?
  11. O

    Kamati Kuu ya CCM yakutana saa nne asubuhi, Lumumba

    Hata Jambazi sugu akiuwawa kwa ujambazi, kwao uweka mataga.:dance:
Back
Top Bottom