Recent content by osmunda82

  1. O

    Mtanzania Prof. Haji Semboja anafaa kuwa Mkurugenzi mtendaji Vodacom Tanzania

    Tunaweza mkuu tena kwa ufanisi wa hali ya juu utakaozaa matunda ya ubora na tija kwa jamii na taifa kwa ujumla ikiwa pamoja na ushirikishwaji Sera za uchumi na mipango
  2. O

    Imekuwa sawa na Makongoro Nyerere alivyotumwa mzazi shuleni akiwa mtoto wa rais

    Kwani mmesahau mkuu mwenyewe alisema miezi miwili nyuma kuwa mwana jembe na atalichukua kufanyia kazi zake
  3. O

    Sheria za Mitandao: Nimedokezwa mahala kuwa Mtandao unaolengwa ni JamiiForums

    Dah kwahyo taarifa muhimu za fursa na kuinuana kimaisha ndiyo basi tena
  4. O

    Hii ndiyo mbinu kubwa ya kumjua kama Mpenzi wako wa Kike ni Msafi au Mchafu

    Sasa ulitaka wafikirie nn!? Mambo yenye majibu mkanganyiko!!? Acha uzwazwa Ku relax muhimu ,,mkuu gentamicyne leta mambo matamu ambayo yatalainisha nerves zetuu
  5. O

    Bosi wa CIA akutana na Kim Jong- un!

    Sasa huyo top boss wa CIA ana msaada gani kwako
  6. O

    Waziri George Mkuchika unamdanganya nani?

    Hawahusiki au wanahusika yote hayo siyo suluhisho bali ni kutoana nje ya hoja
  7. O

    Star tv: Wakati wa kiyama baada ya shetani kutupwa motoni watafuatia Wanasiasa!

    Paschal mayalla ,natumai unaelewa na kufahamu kuwa hakuna jambo LA muhimu kama kukamata hisia za watu,,,binadamu wengi sana uhendeshwa kwa hisia na mitizamo tofauti ambayo ina ukinzani ndani yake
Back
Top Bottom