Waziri George Mkuchika unamdanganya nani?

Acha ' Upumbavu ' tafadhali na sioni unachohamakia ( panic ) ni nini halafu huwa nawapendeni mno Watu wenye ' mihemko ' ya Kipuuzi kama nyie ili niwateseni vizuri Kisaikolojia hadi mchoke. Bado narudia tena kukuuliza tena kwa jeuri zote huku nikijiamini kwamba naomba unipe ' uthibitisho ' wako wa Kimantiki kabisa kwamba TISS ipo nyuma ya mambo yote mabaya uliyoyataja hapa Tanzania. Sihitaji maelezo yako mengi kwani yamejaa tu ' Pumba ' ila nataka tu uende moja kwa moja katika ' vivid facts ' zako ili wenye ' akili ' sawasawa tukuamini na tukuelewe.

Nakusubiri.
Wewe unaonaje?
Wako mbele na si nyuma?
 
Gentamycine amepewa vivid fact kupitia mtu aliyemtolea bastola Nape hadharani bado anataka vivid example labda nimpe wa shambulio la Dr.Ulimboka ambapo alisema wazi kuwa watu waliomshambulia anawafahamu na namba zao za simu walizompigia na ndio maana alitoka nje kuonana nao lakini hadi leo serikali imeshindwa kujibu hoja zake.

Gentamycine its time to wake up and smell the coffee sio lazima uwe mtaalam wa mayai ujue yai viza harufu yenyewe inatosha
 
TISS wako vzr sana bali inasemekana hawako nyuma ya upuuzi unaoendelea ambao umeundwa na kikundi flani cha kihuni chenye nguvu sana kwa kuwa tu kiko karibu na 'wakuu'.
 
Bado naona ' Upumbavu ' wako tu. Ulipokuwa Shuleni au Chuoni ulisoma Somo la Communication Skills na ukalielewa vyema? Ulikuwa mzuri pia katika kufanya ' Summary ' ya Content? Unatumia nguvu nyingi sana kujibu kitu kidogo mno. Nakuuliza tena naomba unionyeshe ' Kimantiki ' kabisa ni wapi TISS ( UWT ) wamehusika na hayo madai yako tafadhali.

Gentamycine amepewa vivid fact kupitia mtu aliyemtolea bastola Nape hadharani bado anataka vivid example labda nimpe wa shambulio la Dr.Ulimboka ambapo alisema wazi kuwa watu waliomshambulia anawafahamu na namba zao za simu walizompigia na ndio maana alitoka nje kuonana nao lakini hadi leo serikali imeshindwa kujibu hoja zake.

Gentamycine its time to wake up and smell the coffee sio lazima uwe mtaalam wa mayai ujue yai viza harufu yenyewe inatosha

Gentamycine,
Kwa majibu yako haya pamoja na michango ya GT waliochangia(WENYE AKILI KULIKO WEWE JITU PUMBAVU NA JINGA) bila shaka unaweza kujielewa unasimamia wapi. But deep in your soul you know the truth of it....unachofanya hapa ni usanii tu...!!
Kwa majibu yako ya kipuuzi I do believe you are one of those fools the so called TISS.. who are now harrassing, torturing and discriminating innocent Tanzanians in the name of Usalama wa Taifa...!!

You fool called Gentamycine, be informed that you can fool some people sometime, but you can't fool all the people all the time....!!! Wewe ni sawa na Mbuni aliyeona moto unawaka na umemzunguka halafu akaficha kichwa kwene mchanga akidhani huo moto hautamchoma...Pole sana...!!

Hivi unafikri hata kama unatumikia hicho kitengo cha Wauaji utadumu milele...??Siku zako zimehesabiwa hapa duniani....there is a day you'll be dead quite in a big coffin......watu watakufukia na kukuacha ukioza and that will be your end.....but before the Throne(kiti cha hukumu) siku ya kiyama utajibu mbele za Mungu huu upuuzi na ukatili mnaowafanyia ndugu zenu Watanzania kwa tamaa ya madaraka....!!
Mungu hadhihakiwi....!!
 
Gentamycine,
Kwa majibu yako haya pamoja na michango ya GT waliochangia(WENYE AKILI KULIKO WEWE JITU PUMBAVU NA JINGA) bila shaka unaweza kujielewa unasimamia wapi. But deep in your soul you know the truth ot it....unachofanya hapa ni usanii tu...!!
Kwa majibu yako ya kipuuzi I do believe you are one of those fools the so called TISS.. who are now harrassing, torturing and discriminating innocent Tanzanians in the name of Usalama wa Taifa...!!

You fool called Gentamycine, be informed that you can fool some people sometime, but you can't fool all the people all the time....!!! Wewe ni sawa na Mbuni aliyeona moto unawaka na umemzunguka halafu akaficha kichwa kwene mchanga akidhani huo moto hautamchoma...Pole sana...!!

Hivi unafikri hata kama unatumikia hicho kitengo cha Wauaji utadumu milele...??Siku zako zimehesabiwa hapa duniani....there is a day you'll be dead quite in a big coffin......watu watakufukia na kukuacha ukioza and that will be your end.....but before the Throne(kiti cha hukumu) siku ya kiyama utajibu mbele za Mungu huu upuuzi na ukatili mnaowafanyia ndugu zenu Watanzania kwa tamaa ya madaraka....!!
Mungu hadhihakiwi....!!

Kwahiyo sasa hivi GENTAMYCINE nimeshageuka tena na kuwa ' Mtekaji ' na ' Muuaji ' kama ulivyonishutumu hapo katika maelezo yako? Leo Mimi nina Wewe tu Mkuu hadi nikupandishe hasira, uhamaki, utoke katika reli na utukane sana ili nikunyooshe ipasavyo. Nauliza tena upo wapi ushahidi kama TISS ( UWT ) wanahusika 100% na hayo yanayotokea / yanayoendelea nchini Tanzania?

Utajuta kuifahamu hii ' Brand ID ' leo!
 
Gentamycine Saa zingine kaaga kimya tu. Huna haja kuendelea kuji expose

Kambaku,
Huyu Gentamycine ni nyoka anayetetea mkate wake.....!!
Naona nitumie maneno ya Baba wa Taifa Mwl.JK Nyerere wakti Nduli Idd Amin alipoivamia nchi yetu mwaka 1978/9...'' Mshenzi huyu amevamia nchi yetu, tutampiga na tunataka dunia ituelewe hivo..huyu ni joka ameingia nyumbani mwetu lazima tumpige mshenzi huyu..'' mwisho wa kunukuu.
 
Mkuchika ni wa kumuonea huruma
rafiki yangu mmoja kutoka kwenye ofisi ya makamu wa raisi jina nalihifadhi alienda kuhakiki mali za huyu mzee kwao huko lindi. kilichomkuta ni kufukuzwa kazi .mkuchika ni mpuuzi kama walivyo wengine kina harison mwakyembe. yule aliyelikana andiko lake la PhD kwa maslahi ya kisiasa
 
Kwahiyo sasa hivi GENTAMYCINE nimeshageuka tena na kuwa ' Mtekaji ' na ' Muuaji ' kama ulivyonishutumu hapo katika maelezo yako? Leo Mimi nina Wewe tu Mkuu hadi nikupandishe hasira, uhamaki, utoke katika reli na utukane sana ili nikunyooshe ipasavyo. Nauliza tena upo wapi ushahidi kama TISS ( UWT ) wanahusika 100% na hayo yanayotokea / yanayoendelea nchini Tanzania?

Utajuta kuifahamu hii ' Brand ID ' leo!

You're dealing with a different type of Brand....which is at its best...!!!

Hakuna cha kupandisha hasira wala kuhamaki wala kutoka kwenye reli yako ya SGR...!!
Naona unahangaika na kujirudia rudia kwa kutaka ushahidi ambao tayari unao..!! Kutumia lugha za ''kunyoosha'' kama ndugu yako anavyosema, haitakusaidia kitu..!! Deep in your heart you know the truth and that you have all the evidences that TISS are involved in this mess....!!

Another simple question: Mr.Gentamycine, can you please prove to this Forum that TISS are not involved in these???Just go ahead and prove it...!
 
Hawahusiki au wanahusika yote hayo siyo suluhisho bali ni kutoana nje ya hoja
 
Nikikaa kimya nitakuwa sijitendei haki kama Mtanzania. Nina wajibu wa kusema kitu katika hili.
Mleta mada kaanza vizuri sana mada yake kwa kueleza mapungufu katika majibu ya Mh. Mkuchika. Ni kweli kitendo cha Mkuchika kusema Musiba anachunguzwa naTISS kimya kimya na watakapomaliza wataishauri serikali, ni upuuzi unaopaswa kupuuzwa na kila mwenye akili timamu. Kuunga mkono tamko la kitoto kama hilo lililotolewa na kiongozi wa wizara yenye dhamana ya Usalama wa nchi ni kuwadharau wazee wote wa nchi hii kama kweli tunaamini katika uzee kuna busara. Mkuchika alipaswa kudanganya kwa style nyingine siyo hii ya chekechea. Matamko ya Musiba yanadhalilisha vyombo vya dola kiujuzi na kumfanya Musiba awe bora kiutendaji kuliko wao. Labda mniambie Musiba ni miongoni mwa watendaji wa TISS ila kajificha/kafichwa kwa sababu za kikazi (Undercover). Vinginevyo hakuna sababu ya kusubiri kumchunguza mtu asiye na authority hata ya jambo dogo la kiserikali kutoa matamko makubwa yanayohatarisha uhusiano wa kidiplomasia na mataifa mengine.
Kuhusu matukio ya utekaji na kuuawa au kujeruhiwa kwa baadhi wa watu wenye mtazamo tofauti na serikali, na kuhusisha suala hili na TISS, hili linahtaji mjadala mpana sana, lakini ukilitazama kwa ushahidi wa mazingira kutokana na matukio na mwitikio wa vyombo vya Usalama dhidi ya matukio hayo, utakuwa hujakosea ukisema aidha vyombo vya Usalama vinahusika au vinajua nani anahusika. Tukio la Lissu ni mfano wa upumbavu (narudia upumbavu) uliowahi aidha kutendwa au kushughulikiwa na vyombo vyetu kipumbavu. Tangu siku ya tukio nilisema kama kweli TISS au machanganyiko wa Idara za Kiusalama unaoitwa Task Force umehusika kwenye tukio hili moja kwa moja au kwa kuwa na taarifa na kuamua kuliacha litokee basi tuna watu WAPUMBAVU sana katika maamuzi ya kiusalama kama Taifa.
Tukio lingine linaloonesha ukosefu wa fikra tunduizi katika utendaji wa vyombo vya Usalama ni la Kijana Nondo ingawaje hili sikushangaa kwa vile inaonekana mchezo mzima ulichezwa na Polisi na hawa naamini viongozi wao wana kasoro kubwa vichwani ingawaje kina watendaji wa kati ni wazuri mno japo hawako kwenye ngazi ya maamuzi. Mfano mzuri wa uongozi wa Polisi ulio wazi kichwani ni RPC wa Dodoma.
Ukilitazama vizuri tukio la Nondo utaona wazi filamu ilivyo kosa mwongozaji mzuri hadi kufikia kuchanganya hata Location ya filamu yenyewe inatakiwa tukio gani liigizwe wapi!!
Wote mnaounga mkono hoja na mnaompinga mleta mada mnaweza kuwa na maoni mazuri lakini lililo wazi na lisilo na shaka ni kwamba Mkuchika hakuwa na uwezo wa kujibu hoja zile kwa vile hakujiandaa au hana kabisa majibu yake hata akipewa muda.
 
Enough said!
 
Bila bila,
Hoja zako zimenigusa sana..!!Katika Wazalendo wa nchi hii you're one of them...ingawaje kwa Utawala huu wa A5 Mzalendo ni yule anayetetea mkate wake kwa kuwaumiza ndugu zake Watanzania...kwa vile tu wana mtazamo tofauti...!!!
 
Jana Waziri George Huruma Mkuchika, Waziri katika Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora alitoa ufafanuzi kuhusu hoja za Wabunge wa Upinzani na CCM kuhsu watu kutekwa, kupotezwa au kushambuliwa mchana kweupe na Mwandishi wa Habari Bwana MUSIBA anavyotoa matamko ya KICHOCHEZI lakini TISS wamekaa kimya.

Waziri katika kama kawaida ya Serikali ya CCM Kajibu hoja zote kisiasa na propaganda nyingi zenye kupotosha. Kwa kifupi niseme alichofanya Mkuchika ni KUJIBU HOJA NZITO KWA MAJIBU MEPESI,YA KITOTO NA YENYE KUPOTOSHA.

Mkuchika anawatetea TISS au UWT(Usalama wa Taifa) kwamba ATI TISS HUFANYA KAZI ZAO KIMYAKIMYA NA KUSHAURI SERIKALI NINI CHA KUFANYA. Huu ni uongo wa mchana kweupe. Usalama wa Taifa ya sasa kiukweli hawa ni USALAMA WA CCM na Serikali yake. TISS wako kutetea CCM na kukandamiza, kuonea, kunyanyasa na kuua Wapinzani kwa MASLAHI YA CCM NA SERIKALI YAKE.!!!

Kama kweli TISS wanafanya kazi kwa weledi unaostahili kama TISS ya enzi za Baba wa Taifa tusingelikuwa tunasikia upuuzi unaofanyika kwa sasa hapa Tanzania. Watu wameuawa huko Kibiti kwa karibu mwaka mzima na TISS wapo tu. Watu wakihoji kwanini watu wanauawa Waziri Daktari uchwara Nchemba anasema INAWEZEKANA CHADEMA wanahusika maana haiwezekani watu wa chama fulani(CCM) peke yao ndio wanauawa lakini Upinzani hawauawi...!!!Je, TISS walikuwa wapi kujua kuwakamata hao CHADEMA au CUF au ACT-Wazalando ili dunia ijue kwamba kumbe vyama vya upinzani ni vyama vya KIGAIDI??

Wakati Mkuchika anadanganya watu kwamba UWT wanaendelea kufanya kazi zao kimyakimya, i hali halisi ni tofauti kabisa na kinachotokea kwenye eneo la tukio.. Kuna Polisi 8 huko Kibiti na mpaka leo hatujui nani walihusika..?TISS wanafanya kazi kimyakimya.....Kuna mwandishi Azory Gwanda ametoweka kutoka eneo la tukio(KIBITI) akiandika habari za Kiuchunguzi kuhusu Mauaji hayohayo na mpaka leo zaidi ya siku 100 Gwanda hajaonekana....LAKINI TISS WANAENDELEA KUFANYA KAZI KIMYAKIMYA...!!

Kuna Ben Saanane ametoweka huu ni mwaka wa pili na haijulikani yuko wapi na nani aliyemteka. Watu wakihoji wanaambiwa waulizwe CHADEMA maana wanajua alipo...??TISS wapo tu wanaendelea kufanya kazi kimyakimya...!! Tundu Lissu kashambuliwa kwa Risasi zaidi ya 30 kwenye maeneo ya Bunge tena Makazi ya Viongozi wa Serikali na Waheshimiwa Wabunge mpaka leo hakuna hata sisimizi wa kusingiziwa amekamatwa....TISS WAPO WANAENDELEA KUFANYA KAZI YAO KIMYAKIMYA......!!!

Mwanafunzi wa NIT kauawa kwa kupigwa risasi na Polisi waliokuwa wanataka kuwazuia/kuwaua Viongozi wa CHADEMA waliokuwa wanakwenda kwa Mkurugenzi wa Kinondoni kuadai Viapo vya Mawakala kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi...Leo Viongozi wa CHADEMA ndo wanaambiwa wanahusika na kifo cha Acqulina Akwiline.....Kwa maana nyingine Mbowe na wenzake ndio walifyatua risasi za kumwua Acqulina....Polisi waliokuwa na silaha za moto , Kamanda Mambosaasa aliyaamrisha Polisi wafyatulie risasi za moto watu wasiokuwa na hatia na Mkurugenzi wa Kinondoni hawahusiki kabisa kwa lolote....TISS WANAENDELEA KUFANYA KAZI KIMYAKIMYA....!!!

Kwa Waziri Mkuchuchika na CCM watu kuendelea kupotea, kuuawa, kushambuliwa na wapinzani kukamatwa, kufunguliwa mashtaka na kesi za hovyohovyo ndiyo UTAWALA BORA wa CCM na Serikali yake huku TISS au UWT wakiende;ea kufanya kazi kimyakimya......!!!

Hitimisho ni kwamba TISS wataendelea kufanya kazi zao kimya kimya huku wakiendelea kupanga mikakati ya kuwapoteza, kuwashambulia au kuwamaliza kabisa Viongozi wote wa Upinzani kimya kimya maana ndiyo kazi ya TISS kwa sasa na huo ndiyo utawala bora...!!!
TISS inatumika kisiasa.
 
Yani watu mnavyopenda kulishana matango pori kuhusu hyo tiss
 
Back
Top Bottom