Recent content by Osha

  1. O

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, alikuwa Mkurugenzi wa TADIP kabla ya kuondoka CHADEMA

    Mbona Zitto ni mshauri wa Twaweza,je tuamini zile percentage za ACT wamewapendelea?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi shirika la Feed the Children, Tanzania

    The attached docs have narrated on professionalism level@prince lato
  3. O

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi shirika la Feed the Children, Tanzania

    Shirika la Feed The Children Tanzania, ambalo ni sehemu ya Feed The Children International, lenye makao yake makuu Oklahoma, Marekani, limetangaza nafasi mbili za kazi kwa kada mbili tofauti: Programme Officer-Health and Water, na Project Assistant-Child Sponsorship and Field Operations. Rejea...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

    Haya mkuu........mtapelekwa mchakamchaka mpaka
  5. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

    Najaribu kupost screenshot ya Maelezo ya muandaaji, ili kuuaminisha umma kilichoelezwa ila inanishinda.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

    Association moja iitwayo CEORT imeandaa mdahalo wa wagombea Urais kupitia chama cha mapinduzi ambao utafanyika tar08/06 yani Jtatu,;hata hivyo mmoja kati ya waandaaji ambaye ni Mr. Ali Mufuruki, amesema Lowassa amekataa pamoja na kumweleza kwamba mdahalo utalenga masuala ya kiuchumi ya taifa na...
  7. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Imeshapoteza Majimbo ya Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

    Kikwete & rizwani, H.mwinyi & Hussein mwinyi, marehm mgimwa & junior mgimwa, etc......
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Zitto Kabwe: CCM wamecheza game of mind kuelekea uchaguzi mkuu

    Hakuna vita ya panzi hapo,zitto alishafukuzwa siku nyingi na impct yake ingeanza kuonekana kweny uchaguz wa serikali za mitaa
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Zitto Kabwe: CCM wamecheza game of mind kuelekea uchaguzi mkuu

    Unazani zitto kufukuzwa sahivi na kufukuzwa mwez wa 6 ipi ingeiharbia Chadema??uaharaka wa mahakama ni upi kama kesi imeshakaa mahakamani karibu miezi9??
  10. O

    JamiiForums Tanzania CMSA: Call for interview

    Mimi Wamentumia email, kuniarika kwenye interview, tar 10.2.2015 kada ya planning officers, wamenieleza pia majina yalitoka kwenye gazeti la the guardian la tar23.1.2015.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwasaidia BAVICHA, ni kwa dhati ya moyo wangu

    Sijui kwanini Juliana unapenda kuisakama Chadema, Chama ambacho kilitabiliwa kingekufa baada ya kuandamwa na kesi bambikizi za ugaidi; Mwenyekiti wa CCM taifa, Makamu na sekretariat yote ya CCM wanajua namna gani Chadema wananguvu. Sielewi kwanini unashindwa kushauri mfumo wa uongozi katika...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Usaili Umoja wa Ulaya!!

    Niliwahi kufanya interview ya project officer hapo, mara nyingi mnaanza written interview ya masaa ma2, wanaofanya vizuri wanaitwa kwajili ya oral ya saa1, mara nyingi maswali yao yanajengwa na misingi ya scenarios, na sio direct questions, kwahiyo, wanaandaaga maswali yenye changamoto katika...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Siasa zisitufanye tukakosa UTU wetu: Kwa hili Tanzania Daima Mnaaibisha!

    Unaupeo mdogo wa kufikiri, usizani kila ofisi wanafunga ofisi sa8 asubuh na kufungua sa10 asubuhi, Habari ya mandela kufariki imetolewa saa7 kasoro, ambapo mhariri mkuu wa Tz daima alikuwa ashafunga ofisi, si lazima kila 'hot news' iandikwe immidiately, we kanjanja!!!!!!!
  14. O

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

    Hivi ni walaka gani hauna muhuri wala sahii ya mtu anaeizinisha?Toka hapa gamba weeeeee
  15. O

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    Natia mashaka kama huyu mtu alikuwa ni mtu makini,mosi, huko kupambana ameshindwa wakati akiwa kiongozi ataweza akiwa mwanachama wa kawaida? pili,ukisoma maelezo yake paragraph ya mwisho anasema"..........tar 3.11.2013........" kiongozi makini anashindwa kuhariri kazi yake, ile hali akijua...
Back
Top Bottom