Katoliki au Taasisi nyingine zozote, hata zile za Umoja wa Mataifa au NGO's za haki za binadamu au humanitarian's organization au hata KKKT na Bagonza, wakiwa wanakemea haimaanishi wanataka kuzuia, ila wanatahadharisha juu ya madhara au faida kwenye Hilo jambo,yaani kutimiza wajibu. Sasa kutii...
Kama kweli kuishi bila kuabudu Watanzania tumeshindwa basi nashauri watu tubakie na Uislamu na Ukristo ubakie na Roman Catholic, Lutheran na Anglican. Makanisa yenye majina ya watu au yanayomilikiwa na watu ni Siasa,Utapeli na Uhuni kama Uhuni mwingine tu. Ni wapiga ramli wasiokaa kilingeni.
Maamuzi mazuri. Kwa idadi ya wasailiwa na ile wanaowahitaji ni bora kwa kuwa una kazi mkononi sikilizia kwanza upepo wake na hali ya mchakato utakavyokua, then next time unaweza kujaribu.
nenda kwa fundi mwambie acheki Ac na power supply.
ila tatizo hapo ni kuwa motherboard imepigwa shoti( electrical shock) na ni lazima ibadilishwe..andaa 120k au zaidi
https://kinondonimc.go.tz/announcement/tangazo-la-kuitwa-kwenye-mafunzo-ya-sensa-kwa-makarani-wasimamizi-wa-maudhui-na-tehama-tarehe-27-julai-2022-wilaya-ya-kinondoni wa kinondoni
wale wa kinondoni.
Habarini za Jioni
kwa wale ambao wanasubiri PDF za Kazi ya Sensa kama haukufanya kazi ya Anuani za Makazi (Postikodi) na sio mkuu wa shule, afisa halmashauri au mratibu elimu kata basi usiweke matumaini sana. Ni bahati mno kupata kama haupo sehemu hizo tajwa.
hata Hao walimu wanaodhaniwa kuwa...
Mtoa Mada kaandika kwa akili kubwa sana..lakini wewe ume reply kwa akili ya kawaida sana. Zanzibar ni kisiwa kile. soon after their isolation from Union government. its going to be the center of terrorism na hata piratism. Tanganyika is safe since Zanzibar is safe.
aisee umewaza kama mimi...kuna wakati nilihisi JPM anamuandaa Mbuge kuwa CDF..maana alipanda vyeo kwa haraka sana..kutoka CO wa 832kJ mpaka ukuu wa JKT ndani ya miezi 13
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.