Recent content by Oscar Amedeus

  1. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Polisi wamekula hela yangu na wamenigeuka, wanamtetea mke kisa ana mtoto

    Alikuja kunidharirisha kazini, ikaathiri status yangu ofisini. So nimemu abandon for that. I'm protecting my job at any cost. Mtoto atalelewa tu.
  2. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Polisi wamekula hela yangu na wamenigeuka, wanamtetea mke kisa ana mtoto

    we unanipata pata. vp nikutumie hiyo App? maana Mods hawakubali uapdate ID, hadi uwe na App
  3. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Polisi wamekula hela yangu na wamenigeuka, wanamtetea mke kisa ana mtoto

    Wapangaji, Mtakumbuka nilileta uzi hapa kuhusu kumshtaki polisi mke wangu kwa kosa la kunitolea lugha za matusi na kunibugudhi kazini. Naona wengi wana kiu ya mrejesho: Sasa nilitumia hela kuharakisha mambo ili nisiwe nachelewa kazini, I mean usafiri pekee ilikuwa ni Tsh 10,000 per day (boda...
  4. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anakuja kunifanyia fujo kazini

    Mkuu mshauri vzur
  5. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Naomba niwe mgeni wako/room mate kwa mwezi 1 hapa Dar

    Bado nahitaji msaada ndugu zangu, bwana issa ramadhani yupo willing ila yupo mbali sana. Hivyo karibuni kwa mwenye uwezo wa kunisaidia.
  6. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Naomba niwe mgeni wako/room mate kwa mwezi 1 hapa Dar

    Shukrani sana.
  7. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Naomba niwe mgeni wako/room mate kwa mwezi 1 hapa Dar

    Sawasawa mkuu.
  8. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Naomba niwe mgeni wako/room mate kwa mwezi 1 hapa Dar

    Nimeshakujibu PM issa.
  9. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Naomba niwe mgeni wako/room mate kwa mwezi 1 hapa Dar

    Good afternoon brothers & sisters! Natumaini mko poa. Hatimae nimekuwa na account yangu, now I can share stuff! Moja kwa moja kwenye swala: Nimekuja Dar nikitokea Mwanza, ni baada ya kupata kazi kwenye makao makuu ya Benki moja hapa mjini. Baada ya kutumia fedha nyingi katika kutafuta ajira na...
  10. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania The Hidden Costs Of Buying a House in Tanzania

    Thank you for sharing, nice article!
  11. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Mobile phone users face higher monthly bills after Ofcom TREBLES

    TTCL mko wapi mtuokoeeee?
  12. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujiunga na kikundi cha Uwekezaji etc

    Karibu kwenye Benki yetu, hutakuwa na haja ya kutafuta vikundi tena, mikopo ni nafuu sana.
  13. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Wizi: Tigo wanaiba internet bundle!

    Tigo hawakidhi vigezo vya kuoperate hapa nchini, ila ndio hivyo tena...shamba la bibi.
  14. Oscar Amedeus

    JamiiForums Tanzania Fridge ya Samsung bei chee

    Duh friji zuri, sema time hii niko vibaya!
Back
Top Bottom