Kila nchi ina teknolojia yake, na nchi nyingi teknolojia zao wamezifanya kuwa siri kubwa sana na ndio maana kabla ya kuanzishwa kwa mzozo wowote nchi zenye nguvu huanza kwa kupitia footage za kijasusi juu ya uwezo wa kijeshi na Ukubwa wa kiteknolojia wa mpinzani, inapotekea bado hujainua vizuri...
Korea kaskazini sio soko la western wana amini katika kukuza uchumi wao kwa Ku boost uzalishaji wa ndani, lkn pia uchumi wa north Korea ni government controlled (Communist model) share the little you have ....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.