Acha uzushi, Mzee wawatu anakubalika na hanabaya na mtu, siokweli kuwa ameshinda kwa sababu ya rushwa, kashinda kwa njia halali kabisa, kumbuka hakuna mafanikio yasiyo na msingi, ndugu huyu kajiwekeza muda mrefu saana hivyo ushindi wake ni halisi na kweli.
Binafsi nilikuwamshabiki wa hoja zako ktk jukwaa hili kaka, Ila baads ya kuanza tabia za chawa nikaanza kukupuuza, Ila niovyo kwa Sasa umevuka renki ya kuwa chawa Sasa umefikia viwango vya kunguni, endelea Ila elewa kadri siku zinavyo songa ndiyo unavyopoteza hadhi yako na reputation uloijenga...
Sio kweli, DP WORD nitatizo pamoja na ujenzi wahoja ulionao, Mtia Mada kasema transport agent wamehamia Mombasa, kwakuwa wanaona ongezeko la gharama kwenye bandari ya Dar, hojayako inakosa Mashiko kwa kuzingatia hiyo sababu Moja ya nikwasababu gani wamehamia Bandari ya Mombasa?
Hauelewi nn ndugu? Hao ndugu"watuhumiwa" wapo walio fukuzwa kwa taarifa wanazo zitoa, wengine wamepata changamoto za kiafya wakiwa kazini kwa Maelezo yao. Wakapoteza sifa za kuendelea kulitumikia jeshi.Hivyo wanaruhusiwa kwa Mujibu wa Sheria za nchi kujitaftia kipato Chao kwa njia halali Kama...
I Hope your all right, I am in Tanzania just engaging in the Maize and Sunflower, I here by wish to inform any entrepreneur who needs to buy The remaining product From Maize (Pumba za Mahindi)in Kiswahili and (Mashudu ya alizeti) to call for us through the following number +2550765780707 or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.