Recent content by Orrionorri

  1. O

    Huduma ya Maombi Maalum/Special Prayers Ministry

    Mungu wetu ni mwema na fadhili zake ni za milele. Nawashukuru wote mlioshiriki maombi ya mnyororo (20-26/10/2014) kuzuia virusi vya gonjwa hatari la ebola kutua katika anga takatifu la Tanzania. 'Kwake yeye aaminiye haya niyafanyayo atayafanya, naam na makubwa kuliko haya' Mungu ibariki...
  2. O

    Viwanja vinauzwa Dege-Kigamboni viko 2-in-1 vina Title Deed

    Viko upande wa beach, opposite na mradi wa magorofa/appartments eneo la Dege, Kigamboni. Viko pamoja (two-in-one), total area more than 1,700sqm. Kila kimoja kina Title Deed yake. Bei kwa kimoja ni USD 50,000. Ukitaka vyote viwili ni USD 90,000. Serious buyers only, just PM au tuma email...
  3. O

    MMU Sunday Talk; I love u all, naamini unajisikia furaha kupendwa

    amina na ameen.....amani kwako pia.
  4. O

    MMU Sunday Talk; I love u all, naamini unajisikia furaha kupendwa

    kweli hela ilipendwa na kina Yuda lakini si kama zama zetu hizi za ufisadi papa na nyangumi, biashara haramu ya dawa za kulevya na pembe za ndovu. Tujihadhari, tusimtende dhambi muumba wetu.
  5. O

    MMU Sunday Talk; I love u all, naamini unajisikia furaha kupendwa

    karibu sana mpendwa, pamoja na wana-MMU wote, amani na upendo daima!
  6. O

    MMU Sunday Talk; I love u all, naamini unajisikia furaha kupendwa

    Siku za mwisho kutatokea manabii wa uongo....kutakuwapo na vita na tetesi za vita....na watu 'watapenda sana hela'...na magonjwa ya hatari yataua watu maelfu elfu..ndio hii ebola...tuikemee isitue katika anga takatifu la nchi yetu.
  7. O

    Huduma ya Maombi Maalum/Special Prayers Ministry

    Wana-JF wote, wacha Mungu na wasio wacha Mungu, karibuni tushiriki pamoja kuiombea nchi yetu. Mungu aibariki, iwe nchi ya amani yenye maziwa na asali.
  8. O

    MMU Sunday Talk; I love u all, naamini unajisikia furaha kupendwa

    Ni kweli halati88 Upendo haubagui. Adui yako mpende, akikutenda mabaya mtendee mema usimfanyie kisasi, na Mungu atakubariki.
  9. O

    MMU Sunday Talk; I love u all, naamini unajisikia furaha kupendwa

    hi Preta nawapenda sana wana-MMU wote, nawatakia jumapili njema. Hiyo link ya fb ni ukurasa wangu wa salamu za upendo kutoka Huduma ya Maombi Maalum/ Special Prayers Ministry. Karibu tushiriki pamoja kuiombea nchi yetu dhidi ya gonjwa hatari la ebola.
  10. O

    MMU Sunday Talk; I love u all, naamini unajisikia furaha kupendwa

    Salamu za upendo kwenu wadau wa MMU na JF wote kwa ujumla, toka kwenye vilindi vya moyo wangu. Nakuomba nawe pia, uchukue fursa hii kumpa salamu mtu mmoja au zaidi mwambie unampenda na kumthamini, na Mungu atakubariki.
  11. O

    Huduma ya Maombi Maalum/Special Prayers Ministry

    Amen ubarikiwe sana. Uwe mwaminifu kutunza ratiba yako, na Mungu atakuwa mwaminifu kwako na kwa nchi yetu. Ndio yako na iwe ndio, hapana yako nayo na iwe hapana, na ile Kweli ambayo tumeitiwa hiyo, itatuweka huru.
  12. O

    Huduma ya Maombi Maalum/Special Prayers Ministry

    IKWETE imani ya kumwabudu Mungu na kumtukuza ni tunda la roho. Mwenyezi Mungu huabudiwa katika Roho na Kweli. Katika ulimwengu wa roho hakuna dini/dhehebu, ila kufanya maombi ni tendo la imani. Mungu huwarehemu wote, nasi sote imetupasa kumcha yeye. Mwaliko huu ni kwa wote, waislam kwa...
  13. O

    Huduma ya Maombi Maalum/Special Prayers Ministry

    Entim karibu tujumuike pamoja kwenye maombi mpendwa.
  14. O

    Huduma ya Maombi Maalum/Special Prayers Ministry

    amen UPOPO, na wewe upo kwenye ratiba ya maombi mpendwa?
  15. O

    Huduma ya Maombi Maalum/Special Prayers Ministry

    Siri ya maombi ni kuamini kuwa Mwenyezi Mungu aliyeziumba mbingu na nchi, anasikia maombi yako na atajibu kwa kadri ya mapenzi yake. Mungu ni roho na hana ubaguzi, ila anachukia sana dhambi. Tujitenge mbali na dhambi bila kujali dini/dhehebu, na Mungu atajibu maombi yetu.
Back
Top Bottom