Pole sana ndugu yangu!!mbona unaandika kwa mrengo wa Kikabila?punguza jazba na wale waliokutuma waambie wakuandikie wao halafu wewe utume.
Wewe ni mbinafsi sana.....unapenda maneno ya sisi, uku Sonjo.....Kuna nini huko?hebu tueleze.
Usije ukawa wewe ndio mwanzilishi wa migogoro ya ardhi huko.
Naombeni msaada!
Mke wangu alipata period (bleeding) tarehe 16 na tarehe 28 ya mwezi huo huo tukafanya tendo la ndoa je hapa kuna uwezekano wa kubeba ujauzito?
Wandugu, mimi ni mjasiriamali, ninatafuta soko la asali kwa hapa Dar es salamaa au kama kuna sehemu nyingine mawazo yenu pia yanakaribishwa.
Nina asali lita 200 ambayo ni asali mbichi.
Kama unahitaji au una mtu anayehitaji naomba uni PM
Asanteni
Wandugu
Natafuta document juu ya Vitalu vya Uwindaji. Taarifa hiyo iliwahi kuwekwa hapa jukwaani lakini nimejaribu kutafuta sijafanikiwa. Mwenye nacho tafadhali tupia humu nami nifaidike.
Asanteni
Kwa taarifa zaidi ili usimnukuu mwandishi ukashindwa kupata taarifa sahii soma ripoti hii hapa utaona jinsi huyo mwarabu alivyojichukulia Loliondo na kuita Falme za Kiarabu (Ukifika Loliondo unaambiwa karibu katika Falme za Kiarabu-Welcome to the Arab Emirates...na mtandao ni Atisalat...)...
Sheria anayotumia Wazari ni mpya halafu itakuwaaje inenda RETROSPECTIVE?vijiji vote vilivyopo pale Loliondo vimesajiliwa kwa mujibu wa sheria za nchi na hata ofisi ya Halamashauri ya Wilaya na ya DC ipo ndani ya GCA for those years?
Manyerere anaelewa kila kitu na anajua hakuna NGOs kutoka Kenya ila ameamua kuwa biased na kuutetea uwaarabu na kuwaacha watanzania walio wengi. Kuna wakati alipelekwa kaandike taarifa na baadaye alipo andika akaitwa na OBC and it was from there he befriended OBC na kuamua kuandika alimradi...
Kama maslahi mapana ya Watanzania ni kusimama na OBC na kupokea pesa zao ili uandike taarifa zisizo sahahi ipo siku utajibu mbele za mwenyezi mungu jinsi ulivyotumia vibaya kalamu yako kama mwandishi wa habari na akili yako finyu ya uhifadhi. Walio anzisha NCA hawakuona hilo?Ni NGO ipi ya Kenya...
Niwalo na liwe ila wengine wanao tuvuruga yupo Jackton Manyerere ambaye amekuwa muumini na anayetumiwa sana na OBC kuhakikisha kuwa anavuruga amani Loliondo....rejea article yake juu Ng'ombe wanaovaa kengele eti watumiwa kuwafukuza wanyama Loliondo.
JF Doctors!
Naomba kujua kiasi cha maji kinachotakiwa mwilini kwa mtu mzima kwa siku.
Nauliza hivyo kwa sababu leo nimekunywa maji lita Tatu na nusu (from 8am hadi 8pm).
Naombeni majibu yenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.