Jamani kwa yeyote anayejua 'siku ya kushika mimba hapa ni ipi'??

Mungu aendelee kuwabariki sana
kwa kujitoa humu!
 
nikuwa nahitaji mtoto wa kiume kila nikifanya mapenzi na mke wangu, tupate mtoto wa kiume tunapata mtoto wa kike ni sababu ipi inayo fanya hv


Kuna Dr. wetu hapa atakusaidia
MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Usifanye mapenzi uanzia siku ya 10 na ifikapo siku ya 14 baada ya hedhi fanya na ujiweke tayari kwa hilo kwani mbegu ya mtoto wakiume ionaishi muda mfupi ila oinambio kufikia mbnegu ya kike wakati mbegu ya kike inaishi siku nyingi na haina haraka kufikia uyai la kike

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Usifanye mapenzi uanzia siku ya 10 na ifikapo siku ya 14 baada ya hedhi fanya na ujiweke tayari kwa hilo kwani mbegu ya mtoto wakiume ionaishi muda mfupi ila oinambio kufikia mbnegu ya kike wakati mbegu ya kike inaishi siku nyingi na haina haraka kufikia uyai la kike

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums


utakuwa umeeleweka!
Kwa upande wangu namuomba Mungu coz tokea nimeweka bandiko hili mpaka leo bado mke wangu hajapata ujauzito!
Lkn watu wanasema kugundua tatzo ni nusu ya kupona mwanzo wa mwez wa 3 niliamua kwenda kumuona Dr
nikagundua kuwa seli zote za damu zipo chache yaan white and blood cells! Nikapata dawa
sasa kesho naenda kuludia kupma nione tatzo limeisha au laa!
Feedback ntaleta!!!
 
Tarh 12/04 niliamua wife na yeye kumpeleka hosptal ambapo alifanya vipimo na kuonekana ana tatizo ktk both Ovaries,
akaingia ktk dose nzito ya siku 28 bila kumgusa yaan kufanya nae tendo kamalza dose ka wk 1
iliyopta jana kaigia ktk siku zake leo siku ya 2 nimeenda nae kufanya vipimo pa1 na mimi
Dr katuambia kwa sasa wote tupo nomal so tunasubili siku ya
ovulation tubadilishane vitambi!!!
 
Haya kaka kila la kheri. Na usisahau ku2pa feedback juu ya hlo.


Nashukuru mkuu lazma nilete feedback tena ntakuja na thread ya ushuhuda nitaonganisha threads zote ambazo niliomba ushauri/tba na dawa n.k kuhusu hili swala
kwanza nina aman sana Moyon utafkir tayar wife mjamzito!
 
Habari jion jaman? Matumaini yangu ni wazima!
Naomba mnisaidie Kujua ile siku/tar ya kushika mimba kwa mke wangu!

kwa kabisa ana mzunguko wa siku 28
bleed inaanza tar 14-tar 18 humalizia yaani kwa siku 4
sasa naomba mnisaidie kui-pin poit ile siku ya mama kupata mimba!!!
kwasababu nimekuwa nikifuatilia nakuta kila mtu na maelezo yake wengine wanasema humohumo akiwa anableed n.k
hii ni kweli ?
wadau wanajua haya mambo naomba mnisaidie!
Nawasilisha!!

siku mbili kabla ya siku ya kumi na nne tangu aanze kubleed atashika mimba, wataalamu wanasema atakuwa ni dume, na siku mbili baada ya siku ya kumi na nne tangu aingie hedhi pia atapata mimba, possibly wa kike! siku ya kumi na nne yenyewe lazima mama ashike mimba maana hapo yai linakuwa limeshuka na limechanua tayari kupokea sperms! siku zingine zilizobaki ni SAFE DAYS
 
Naombeni msaada!
Mke wangu alipata period (bleeding) tarehe 16 na tarehe 28 ya mwezi huo huo tukafanya tendo la ndoa je hapa kuna uwezekano wa kubeba ujauzito?
 
Back
Top Bottom