Loliondo to be split into two

Loliondo to be split into two

Rais hatatoka Kaskazini hawa Umasaini
Nyie kama mnadhulumiwa ardhi na kupewa Mwarabu hapo tutawasaidia na tutapiga kelele hasa
 
wamasai si huwa hamjielewi ndo mana,na huna ushahdi wa ktosha kuwa mnaonewa vyote unavoandka ni point za kufikirika t
 
Nani kakuambia kuwa lowassa ni mmasai??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ni kweli kuna element za kuonewa hata mm namuunga kidole mleta mada, ya kuhusu loliondo siyo ya leo na ushahidi si wakutafuta zipo tu labda mzee wa ruksa afe, niliwahi kutembelea hifadhi ya ngorongoro nilishikwa na mchangao kwa jinsi wanavyo watreat wenyeji, wanakufa njaa, ajira za ukanda wa ziwa na uchagani tu, pamoja na wenyeji kwa sasa kuwa na wasomi wa kila sekta hasa uhifadhi, na mambo mengi isiyopendezesha. Wamasai wa sasa sio wale wa zamani wameambukizwa upole na wadanganyika. Japo I hope kuna siku watapoteza tolerance na kuanza kupandisha mori.
 
Nani kakuambia kuwa lowassa ni mmasai??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums



Habari za Kuaminika ni hizi: Edward Lowasa ni Mmasai kwa vipimo vya Genetics. Vinasaba vya DNA vya binadamu vinakuwa na Mfumo wa Ndani na mfumo wa nje. Mfumo wa ndani unakuwa na Vinasaba viwili vilivyoshikana. Kimoja ni cha Mama, Kingine ni cha Baba. Gamba la nje la DNA linakuwa na kinasaba cha Mama Peke yake. Kwa hiyo DNA ya mtoto ina vinasaba viwili vya mama na kimoja tu cha baba.

So.... kitaalamu, Vinasaba vya Mama vinazidi vya baba katika DNA ya mtoto. Kwa hiyo mtoto ni wa mama kwa kweli....

Baba yake Edward Ngoyayi Louwasa ni ukoo wa Jeremia Sumari wa Arumeru Mashariki. Jeremia Sumari Mchaga? au Mwarusha? Well, whatever--lakini kwa uhakika kabisa si Mmasai. Kwa hiyo Edward Louwassa SI MMASAI kwa DNA ya BABA.

Ila Mama yake Alikuwa MMASAI. Kitaalam, kama nilivyoelezea juu, kwa kweli mtoto anatakiwa kuwa mtoto WA MAMA.

Therefore: Louwasa ni Mmasai kwa maana hiyo! Kalelewa kwa wajomba zake, kajenga kwa wajomba zake, anaishi kwa wajomba zake. Hata majina yake kachukua upande wa Mama yake. Any more questions?


ANGALIZO: Nawasihi ndugu zangu Wamasai na CCM. Mshaurini Louwasa asigombee Urais. Atachafuka sana. Mshaurini amalizie siku za maisha yake zilizobaki katika kusimamia biashara zake. Kinyang'anyiro cha Urais kitamchafua sana yeye pamoja na familia yake. Mshaurini aachane kabisa na Urais. Gharama itakuwa kubwa mno....
 
Mbona kinara wenu lowasa yuko kimya anahangaikia ajira za vijana na kumwaga mapesa ya ruchmond makanisani? Jinsi akivyo opportunist huoni ndio ingekuwA kete yake? Kuna jambo hapo
tutashikamana watanzania wote.bila ukabila .
 
Kuachia Ngazi ni njia mojawapo maana Katibu Mkuu wa CCM taifa Mr. A. Kinana ni mwakilishi wa OBC Tanzania na yupo nyuma ya pazia
 
then what?

kwa nini hawa royal family ya UAE wanangangania Loliondo wakati kenya nafas na mbuga nzuri zaidi zipo?
 
Back
Top Bottom