Recent content by oringa kazenga

  1. oringa kazenga

    Shida ya uoni hafifu

    Asante, naomba ufafanuzi zaid ni huu mti nauskia wa mnyonyo au?
  2. oringa kazenga

    Shida ya uoni hafifu

    Asante kwa ushauri ndg
  3. oringa kazenga

    Shida ya uoni hafifu

    Hapana wakipima miwani hakuna lens inayonisaidia kuona vizuri kwani wanasema lens ya jicho haina shida, tatizo ni neva zinazo hukua taarifa kwenda kwenye ubongo
  4. oringa kazenga

    Shida ya uoni hafifu

    Habari ndugu zangu wanajamii, Mimi nina shida ya kuona vizuri tangu mwaka 2018, Nimeenda hospitali kama muhimili na Dr Agarwal nilipewa dawa ya vitamini wakidai ni shida ya neva za kuona. Leo hii nilkua darasani nikawa imeingia chumba chenye AC na feni macho yameanza kuniwasha sana baadae...
  5. oringa kazenga

    Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Mimi nashindwa kununua kiwanja online kupitia Tausi sioni option ya kupata namba ya malipo pia sioni vipimo vya kiwanja husika. Naomba maelekezo please.
  6. oringa kazenga

    Natafuta simu ya "button"

    Jamani ndugu zangu nina shida na simu ya button toleo za nyuma kama Nokia vile vidogo. Tafadhali mwenye nayo hela yake iko mfuko wa shati! Naomba kuwasilisha
  7. oringa kazenga

    Kampuni binafsi ya uuzaji wa viwanja ina haki ya kuongea na kamishina wa ardhi ili wakufutie hati ya kiwanja?

    ushauri tafadhari, na mimi kuna kiwanja nataka nianze kulipa kiko bagamoyo, malipo kwa installments, na wanadai hatimiliki wanantafutia,.ushaur tafadhari.
Back
Top Bottom