Irie man,binadamu wanafiki sana na hii ni mental slavery kubwa sana,utawaskia "kazi ya mola haina makosa" kwa hiyo Jah alikosea kuuleta ulimwenguni hilo jani?na tena haina ya kufanyiwa processing ya kibabilon,ni unachuma direct kama mchicha unaichambua unainyonga kwenye paper unalipua...
Irie bro...bonge ya nyimbo..nyuzi zilizoshiba..kwenye keyboard yupo el wya windo(r.i.p) gitaa yupo al anderson..drums yupo carlton barret na seeco..then family man anawasimamia wailers nzima wakat wa performing
Mkuuu huo wimbo unaitwa stiff necked fools..una ujumbe kama le habari ya wanaisrael waliojifanya wajuaji..ukimaliza huo pata time usikilize pimpers paradise utamchambua babie wako twice kama sio thrice
Lakn bob was fighting against mental slavery,protecting your culture(rastaman live up)and blackman redemption..then you can go there dressing halfnakedbody wakat owner of the song alikua anafight against that babylon illusion..huoni hata meseji inakua ngumu kuingia kwa mtu aliyeelewa principles...
Yeah sure very addicted..nikijua naenda somewhere new..ive to carry one of the wall pic..he is my redeemer..i believe he was here for some people..his songs are prayers to me
Yeah i see rihanna cover..BUT culture gal ..look at the face of rihanna and the message of the song...was very far different..the song is very powerful than what comes out of rihanna lips
Sure,Bob nimeanza kumsikiliza since 2008..ila nimetumia muda mwingi sana kuwasoma kwenye documents mbalimbali, naona moyo wangu upo connected sana na nyimbo zake..popote ntakapokaa kwenye nyumba lazima nimbamdike somewhere nimuone
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.