Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Miss you too,
Basi nikasubiri kupewa habari zaidi siku ile na sikukuona chemba.
Halafu nilivyokuona leo ndo nikakumbuka siku ile nilipotea.
Miss you too,
Basi nikasubiri kupewa habari zaidi siku ile na sikukuona chemba.
Hahaha kweli upo addicted nae hadi kumuweka ukutani!Sure,Bob nimeanza kumsikiliza since 2008..ila nimetumia muda mwingi sana kuwasoma kwenye documents mbalimbali, naona moyo wangu upo connected sana na nyimbo zake..popote ntakapokaa kwenye nyumba lazima nimbamdike somewhere nimuone
Yeah i see rihanna cover..BUT culture gal ..look at the face of rihanna and the message of the song...was very far different..the song is very powerful than what comes out of rihanna lipsYour mostly welcome Bro Abunwasi,
This song will pass from generation to generation just like he said in the lyrics, am glad that you sing it along with Bob.
Rihanna nae kaifanyia cover sio mbaya natamani wasanii wengi hata wa bongo wangeifanyia cover Redemption Song ikazidi kupaa na kusikika karne na karne.
Yeah sure very addicted..nikijua naenda somewhere new..ive to carry one of the wall pic..he is my redeemer..i believe he was here for some people..his songs are prayers to meHahaha kweli upo addicted nae hadi kumuweka ukutani!
Hakika ukimsikiliza lazima uwe connected nae sababu hakuwahi kutoka nje ya jamii ya mtu mweusi na dunia kwa ujumla, aliyoyazungumzia ndio yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo.
Lol, nadhani sababu aliuimba ule wimbo kipindi cha lile janga la Haiti ndio maana ukaona kama usoni hakubeba ule uzito wa wimbo coz tukio na wimbo vilikua tofauti.Yeah i see rihanna cover..BUT culture gal ..look at the face of rihanna and the message of the song...was very far different..the song is very powerful than what comes out of rihanna lips
Waiting......Halafu nilivyokuona leo ndo nikakumbuka siku ile nilipotea.
His songs use to bring back people from the Comma...Yeah sure very addicted..nikijua naenda somewhere new..ive to carry one of the wall pic..he is my redeemer..i believe he was here for some people..his songs are prayers to me
Yes madam i remember it was Haiti tragedyLol, nadhani sababu aliuimba ule wimbo kipindi cha lile janga la Haiti ndio maana ukaona kama usoni hakubeba ule uzito wa wimbo coz tukio na wimbo vilikua tofauti.
Lakini Rihanna alishasema her favourite artist of all the time ni Bob na hata kwenye matamasha yake mengi hua anaimba wimbo wa Bob hata mmoja.
Lakn bob was fighting against mental slavery,protecting your culture(rastaman live up)and blackman redemption..then you can go there dressing halfnakedbody wakat owner of the song alikua anafight against that babylon illusion..huoni hata meseji inakua ngumu kuingia kwa mtu aliyeelewa principles za bobLol, nadhani sababu aliuimba ule wimbo kipindi cha lile janga la Haiti ndio maana ukaona kama usoni hakubeba ule uzito wa wimbo coz tukio na wimbo vilikua tofauti.
Lakini Rihanna alishasema her favourite artist of all the time ni Bob na hata kwenye matamasha yake mengi hua anaimba wimbo wa Bob hata mmoja.
No iddnt know thatHis songs use to bring people from the Comma...
Did you know that?
Lol tumsamehe Riri na umarekani umemjaa plus usista duu plus ujana.Lakn bob was fighting against mental slavery,protecting your culture(rastaman live up)and blackman redemption..then you can go there dressing halfnakedbody wakat owner of the song alikua anafight against that babylon illusion..huoni hata meseji inakua ngumu kuingia kwa mtu aliyeelewa principles za bob
Now you know... not only him but also Michael Jackson songs, Whitney Huston songs and Celine Dion songs.No iddnt know that
That's a Legend."Every man need a woman & Every woman need a man" Am a do
~Bob marley.
Mkuu tuwekee huu wimbo hapa au weka jina lake pls!You think you are cool to deny me for simplicity
UnaitwaMkuu tuwekee huu wimbo hapa au weka jina lake pls!
Mkuuu huo wimbo unaitwa stiff necked fools..una ujumbe kama le habari ya wanaisrael waliojifanya wajuaji..ukimaliza huo pata time usikilize pimpers paradise utamchambua babie wako twice kama sio thriceMkuu tuwekee huu wimbo hapa au weka jina lake pls!
Yaaah sucking the blood of sufferers"~Babylon system is the Vampire~"
Ngoja nikautafute huo wimbo hulkshare.com nikiupata niulete hapa.Mkuuu huo wimbo unaitwa stiff necked fools..una ujumbe kama le habari ya wanaisrael waliojifanya wajuaji..ukimaliza huo pata time usikilize pimpers paradise utamchambua babie wako twice kama sio thrice