Ni sahihi kwa mwanajeshi wa JWTZ kuvuta bangi hadharani na raia?

Kwenu enyi wajuzi wa mambo.

Naomba kujuzwa je ni sahihi kwa wanajeshi kuvuta bangi hadharani wakishirikiana na raia?

tangu pazuke kinachoitwa vita dhidi ya ugaidi hasa maeneo ya pwani humu nchini juhudi mbalimbali zimeanzishwa kukabiriana na mambo haya.moja wapo ni kuanzishwa kwa kanda maalumu huko pwani. vita hii ambayo kimkakati inalenga kuwatia adabu wote wenye kuleta fyoko dhidi ya serikali pendwa inawajumuisha wanajeshi wa JWTZ hawa wapo wengi sana huko pwani.

sote tunajua kazi za jeshi ni MIPAKA YA NCHI YETU ndio maana linaitwa jeshi la wananchi.

sasa mambo yamebadilika .
wanajeshi wanalinda raia dhidi ya watawala kwa kufanya hivyo wanafanya kazi ambazo sio zao kwakweli. miongoni mwa kazi wanazofanya ni pamoja na
1) kulinda hifadhi ya bahari yani mwajeshi anazuiaje uvuvi haramu kwa mfano.

2) kuzuia wanaoingia na wanaotoka maeneo hayo. mwanajeshi anamuuliza raia kitambulisho chake tena wakiwa bar usiku ? wengine wanatoa silaha hadharani , wengine wanapigana na raia na kujiita makomandoo basi ni visa na vituko vyao tu.

3) wanahariri mauzui ya mazungumzo ya watu hata kwenye vijiwe vya kahawa.
kubwa kuliko yote wanashirikiana na vijana wa maeneo hayo kuvuta BANGI Tena mchana kweupe hadharani kana kwamba wao wapo juu ya sheria?

Nawauliza wajuzi wa mambo ya jeshi je ni halali kwa mwanajeshi kuvuta BANGI Hadharani?
Kapicha basi
 
Siku nyingine ukiwaona wanajeshi wakivuta Bange (bangi) hadharani, piga simu Police waje wakamatwe hao, hayo maswali kuleta hapa haitosaidia Mzee.
 
Minadhani ni sahihi kabisa, maana hata pesa ya kiwi walisha ruhusiwa kupokea hadharani.
 
Mmh wanajesh Sina ata ham nao maana huu mwaka wametunyoosha kijijini kwetu
 
Wako kazini kiintelijinsia, we unashangaa kuvuta banging, wengine wako na mashoga pia wanakusanya taarifa, kwenye usalama wa Taifa,hata mkeo anamegwa mbele yako, nchi mbele mambo mengine yanafuata. Umeelewa sasa.
Sio mda wote ni kazini...tuwe wakweli..wanalipaka jeshi sifa mbaya ...wapo mpaka mashoga...na wengine wanakuja mitaani kununua bangi na unga na wanakwenda kuuza makambini...mapusha heavy...
Ukiwaona hadi huruma!
 
Kwenu enyi wajuzi wa mambo.

Naomba kujuzwa je ni sahihi kwa wanajeshi kuvuta bangi hadharani wakishirikiana na raia?

tangu pazuke kinachoitwa vita dhidi ya ugaidi hasa maeneo ya pwani humu nchini juhudi mbalimbali zimeanzishwa kukabiriana na mambo haya.moja wapo ni kuanzishwa kwa kanda maalumu huko pwani. vita hii ambayo kimkakati inalenga kuwatia adabu wote wenye kuleta fyoko dhidi ya serikali pendwa inawajumuisha wanajeshi wa JWTZ hawa wapo wengi sana huko pwani.

sote tunajua kazi za jeshi ni MIPAKA YA NCHI YETU ndio maana linaitwa jeshi la wananchi.

sasa mambo yamebadilika .
wanajeshi wanalinda raia dhidi ya watawala kwa kufanya hivyo wanafanya kazi ambazo sio zao kwakweli. miongoni mwa kazi wanazofanya ni pamoja na
1) kulinda hifadhi ya bahari yani mwajeshi anazuiaje uvuvi haramu kwa mfano.

2) kuzuia wanaoingia na wanaotoka maeneo hayo. mwanajeshi anamuuliza raia kitambulisho chake tena wakiwa bar usiku ? wengine wanatoa silaha hadharani , wengine wanapigana na raia na kujiita makomandoo basi ni visa na vituko vyao tu.

3) wanahariri mauzui ya mazungumzo ya watu hata kwenye vijiwe vya kahawa.
kubwa kuliko yote wanashirikiana na vijana wa maeneo hayo kuvuta BANGI Tena mchana kweupe hadharani kana kwamba wao wapo juu ya sheria?

Nawauliza wajuzi wa mambo ya jeshi je ni halali kwa mwanajeshi kuvuta BANGI Hadharani?
Mmea una shida gani? Hauvuti lakn unaukosoa..wala mara 1 kwenye maisha yako unatakiwa ule mmea ujue hio dunia yake ikoje
 
Bangi si ni sigara tu?kama baada ya kuvuta kaya yake kama hakutenda ovu lolote la kukwaza jamii muache aendelee na starehe zake.Wengi wenu walevi wa pombe na mnatukere sana na mikelele yenu na matusi na sisi wavuta bangi hatujawahi kuwalalamikia...endeleeni na mipombe yenu mtuache na majani yetu,big up solja ungekuwa karibu ningekuongeza msokoto mmoja...haille..
Irie man,binadamu wanafiki sana na hii ni mental slavery kubwa sana,utawaskia "kazi ya mola haina makosa" kwa hiyo Jah alikosea kuuleta ulimwenguni hilo jani?na tena haina ya kufanyiwa processing ya kibabilon,ni unachuma direct kama mchicha unaichambua unainyonga kwenye paper unalipua kitu irie babilon fall..chant down babylon behend the playlist
 
Inaonekana kama unataka kusema ni sawa raia wakivuta ila sisawa mjeda akivuta siyo!!!
Kwa wote siyo sawa.
 
Watu kwa kutetea wanajeshi humu! Mnaweza hata kunyonywa mate na wanajeshi na bado tu mkasingizia eti wapo kazini, acheni upussy
Ni ujinga kutetea wavunjaji wa sheria kwa namna yeyote ile haijalishi yeye ni nani au anacheo gani
 
kama hatuvuti wote bangi, kuruka uchura wengine wanaweza kutegea ila mimi anahakikisha kama ni uchura km 2 basi zote ntaruka nikitoka hapo nishakua chura kabisa
hahahhhah...pole sana ndugu...jamaa aliamua kukukomoa mazima
 
Back
Top Bottom