ASA kwan ni wajinga hawa mpaka abebe sijui billion 3 kwa pamoja??
kwakua mchakato was kuzibadili utakua na mda maalum na wao watatumia mda huo kbadili pesa zao kidogo mpaka watakapo maliza, kwani akienda Leo na million kazaa akabadili akaa Siku kazaa akaenda kubadili mtamjua??
na sizan kama kuna...
kwani mkuu hizo zitakazo chapishwa watashindwa kuzificha?? au watatengeneza zitakua na Chip maalum ya kuweza kutrack hizo not??
mi nahisi hizo ghalama si za lazima hizo hela za kuchapishia wangenunua madawa au wangefanyia maendeleo mengine
maana hapo in sawa na kutwanga maji kwenye kinu...
unajua vitu vingine ni ile kukosa utashi was kupambanua mambo, ASA kama issue ni kubadili noti kwa kisingizio cha watu kuficha pesa ndan, kwan hawa watu waloficha pesa ndan n wajinga au?? si watabadixha tena na kuzificha??
kwanza sizani kama kuna mtu anaweza kuficha hizi pesa za kibongo, mala...
halafu wanadai walitoa majina ya walio kosea ili walekebishe, hayo majina yalitolewa lini maana Mimi ni mmoja was walio kosea maana sikuambatanisha result slip ya form six, na sikupewa taarifa ya malekebisho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.