https://www.youtube.com/watch?v=-XzJJFDbKNc
========
Kipenga cha uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, kitapulizwa leo Alhamisi, Agosti 15, 2024 wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa atapotoa tangazo la uchaguzi huo...
kuelekea 2025
serikali
serikali za mitaa
serikali za mitaa 2024
tamisemi
tangazo la uchaguzi serikali za mitaa
uchaguzi mkuu
uchaguzi tamisemi
uchaguzi wa serikali za mitaa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema maboresho ya Elimu yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita yamechangia kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa Halmashauri hiyo hususan ni kwa Shule ya Sekondari ya Mizengo Pinda ambayo imeshika...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amekemea utendaji usioridhisha wa watumishi wa afya katika maeneo ya kutolea huduma nchini kwa kuwa unaenda kinyume na maadili ya utumishi.
Maelekezo ya Mhe. Mchengerwa yametolewa kwa niaba na Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii...
Uhamisho unatoka na Barua zimeshaanza kutumwa kwenye Halmashauri zenu! Tafadhali hakikisha kuwa Taarifa zako zilikamilika na ziliwasilishwa na Katibu Tawala Mkoa wako kama hilo lilikamilika utapokea barua yako hivi karibuni!
Wananchi 3,149 wa kijiji cha Mundindi kilichopo Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wametengeneza historia ya kipekee baada ya Serikali ya kijiji hicho kuwakatia bima ya afya wanakijiji wote ili waweze kupata huduma ya afya bila kikwazo cha fedha.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kulipa fidia...
Shirika la Masoko ya Kariakoo linautangazia umma orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo baada ya ujenzi wa soko jipya na ukarabati wa soko kuu kukamilika. Taarifa hii inapatikana katika tovuti ya Ofisi ya Rais –TAMISEMI www.tamisemi.go.tz...
Hapana mfumo sio mpya ila umeboreshwa marekebisho ya Sheria ya Fedha sura 29 yamefanyika pamoja na mapitio ya Kanuni za Mikopo ya asilimia 10, uandaaji wa Miongozo na Vitini vya mafunzo!
Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Beatrice Kimoleta amesema baada ya Serikali kutangaza kurejesha mikopo ya vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imefanya masuala mbalimbali kuboresha mikopo hiyo kwa kufanya marekebisho ya Sheria ya...
Akiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya mikopo ya asilimia 10 kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu leo Julai 9, 2024 Katibu Mkuu Adolf Ndunguru amesema, Serikali inatarajia kuona mafunzo hayo yanakwenda kutatua changamoto za utofauti wa uelewa na tafsiri ya baadhi ya vifungu vya kanuni kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.