Recent content by option

  1. O

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanaochukia wachina kujaa ni Wabaguzi waliojaa tamaa, Wachina wako poa sana muwaache watupe nafuu ya maisha, Tumechoka kupigwa

    Kuna bidhaa nlienda nunua kariakoo tofauti ya bei kati ya mswahili na mchina ilikua 150k nliogopa sana
  2. O

    JamiiForums Tanzania Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Hii gesi ya elopiji nasikia inatoka nje kama mafuta ya mtwara inaenda nje
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kuna anayejua sababu za Yanga kahama uwanja wa Azam Complex?

    Wanaojua sababu za yanga kuhama uwanja wa azam complex ni yanga wenyewe, mara nyingi azam wamekua wakisema uwanja upo kwene matengenezo mechi zikikaribia, sasa hivi wamepewa muda wa kutosha kupisha hayo matengenezo yao.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo

    walisema timu inapiga kimoko mbona nao wamepigwa kimoko wanalalamika?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    Basi sawa
  6. O

    JamiiForums Tanzania Hivi Mo dewji anamwaga mabilioni ya Usajili Kigwangala huwa anakuwa wapi?

    Anasubiri nyie mmalize kwanza yeye apige mshino
  7. O

    JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kituko na aibu kwa nchi dhidi ya wageni!

    Kwa hiyo unashauri watu waende makazini mchana? Na jioni wasirudi kuepuka huo usumbufu?. Usichokijua mchana unaweza subiri gari lisaa usipate usafiri. Huu usafiri ni wa kiwaki.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Arsenal atamaliza bila taji msimu wa 2023/24

    Taratibu wanapunguzwa
  9. O

    JamiiForums Tanzania Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

    Mamelod + CAF + VAR + MOTSEPE = YOUNG AFRICA
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

    We fala hao mbwa wako hawakutakiwa wafike hatua ya matuta
  11. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: LG Home Theater inaandika D-PROTECTION

    Bado haijakubali
  12. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: LG Home Theater inaandika D-PROTECTION

    Mpaka leo imeshindikana
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

    Endelea kupiga Ramli
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la kuwasafirisha Yanga, natofautiana na Serikali

    Hii keki ya taifa kila mtu atakula kwa muda wake
Back
Top Bottom