Recent content by optimus prime

  1. optimus prime

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Utakuwa unasubiri ubuyu kutoka Zanzibar
  2. optimus prime

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Atakuwa anasubiri ubuyu kutoka Zanzibar siyo mizigo ya bandari ya Dar, wanaosubiri mizigo hawaendi bandarini kusubiria wapo kwenye maofisi yao huko
  3. optimus prime

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Nakuheshimu acha kabisa kuingilia yasiyokuhusu
  4. optimus prime

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Kitu gani unataka kirekebishwe kama kweli wewe ni mtumiajia wa bandari ya Dar? Acha kuandika porojo ushashiba viazi na katecno kako basi unaporojoka tu
  5. optimus prime

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Sasa kama siyo bhangi nini? Wewe upo Kiteto sijui Nyakabazu huko alafu unasema mzigo wako umechelewa bandarini, kweli?
  6. optimus prime

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Jifunze kwanza kuandika alafu acha matumizi ya bhangi
  7. optimus prime

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Nimeamini kweli bhangi mbaya kwa afya ya akili
  8. optimus prime

    Propaganda za bandari ya Mombasa zafika mwisho

    Na bado. wataelewa tu kuwa Mama Kizimkazi hana mbambamba
  9. optimus prime

    Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    Serikali iongeze vitendea kazi na miundombinu ya bandari ili wawekezaji waje wengi zaidi
  10. optimus prime

    Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    haya ndio maneno tunapenda kusikia. ukisema jambo unatakiwa useme kwa hoja na facts kama huyu mwamba na ukibisha ubishe kwa hoja na facts. kongole
  11. optimus prime

    Wazee wetu wanateseka Ngorongoro

    Wanakufa kwa ujinga wao. Iliona wapi watu wakaishi na NGEDERE na NYANI
  12. optimus prime

    Wazee wetu wanateseka Ngorongoro

    Haya sasa waliokuwa wanapiga kelele wasihame wasihame wamewakimbia.
Back
Top Bottom