Recent content by Optimists

 1. Optimists

  Mnaoomba kazi za Elimu na Afya kuweni serious

  Barua zinaandikwa kwa mkono
 2. Optimists

  Ulaaniwe umasikini! Kuwa jobless umekuwa mzigo mzito sana kwangu

  Nasikia pia inahitaji connection? Au ni story? Hivi ukiapply unaweza kwenda bila mwenyeji wala unaweza kwenda bila kujua a,b,c
 3. Optimists

  Ulaaniwe umasikini! Kuwa jobless umekuwa mzigo mzito sana kwangu

  Au kama vipi turudishe mpira kwa kipa maana hatujaua huko home
 4. Optimists

  Ulaaniwe umasikini! Kuwa jobless umekuwa mzigo mzito sana kwangu

  Ukishaanza nitakupa namba ya wateja zangu kutoka kibaigwa huko wanachukua mzigo mingi sana
 5. Optimists

  Ulaaniwe umasikini! Kuwa jobless umekuwa mzigo mzito sana kwangu

  Mkuu wewe kama unaweza Fanya hivi tafuta laki moja au laki mbili cha kuanzia njoo karume upambane, note (kama unaweza kuamka usiku)...pale asubuhi mapointer wa viatu ni wengi wengine wanatokea mikoani..unashusha mzigo ndani mule unaenda kuuosha/kufua vizuri asubuhi unawai sehemu yoyote pale...
 6. Optimists

  Ulaaniwe umasikini! Kuwa jobless umekuwa mzigo mzito sana kwangu

  Sio rahisi na wengi wanaoongea hivyo wametoka familia nzuri inayowajali kwa kila kitu, back up hipo akipiga simu kidogo anasikilizwa. Tofauti na hapo ni mahangaiko tu mfano huku dar watu wanapambana saaana watu hawalali lakini ndio hivyo. Watu sana ndoto kubwa na mipango mikubwa lakini nature...
 7. Optimists

  Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

  Kwa navyoujua Huu mfumo utakaa sawa after 4 days huko
 8. Optimists

  Ulaaniwe umasikini! Kuwa jobless umekuwa mzigo mzito sana kwangu

  Mzee depression is real. Wengine kama kupambana tunapambana kinyama tunaamka asubuhi pale karume kuanzia saa 9 usiku mpaka saa 1:30 asubuhi migambo watakuja tunaondoka, hiyo ndio daily routine mitaji midogo hakuna tunachopata gharama ya maisha ni kubwaa akiba yote inateketea kwenye basic need...
 9. Optimists

  Je, wewe utamsamehe?

  Vipi na zile kelele alizokua anapiga?
 10. Optimists

  Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

  Mkuu bado unakaa huko? Niliishi bonga kipindi Fulani hivi
 11. Optimists

  Jambo gani gani huwa unajiuliza bila kupata majibu

  Kwanini nilizaliwa? Lipi lengo la kuishi? Kwanini tunateseka?
 12. Optimists

  Fahamu njia unazoweza kuzitumia ili kupata Mtaji wa Biashara

  Kua muwazi wa hizo taasisi je inahitajika bond yoyote?. Mfano mimi nafanya issue ya Viatu Nina order ya pair kama 300 jumatatu lakini sina mtaji nimekwama nimeamua kutulia tu. 1. Akiba binafsi ni ngumu sana hasa graduate 2. Kubadilishana Mali na vitu binafsi, wengine hata sehemu ya kukaa hakuna...
Top Bottom