Kwa ninavyoona ni kwamba mtaani unapata ujasiri kwakua unaamini unajua kuliko wao (una akili kuwazidi. Ila inapokuja sehemu rasmi kama ofisini unaweka dhana kwamba wanaokusikiliza nao wanajua, huenda kuzidi wewe, hapo lazima uhofie ukiongea pumba itakuaje.
Kwaiyo cha kufanya tumia ujasiri uleule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.