Ukosefu wa elimu, Wengi wanaamini kitu kama gesi ni gharama sana na hatari inaweza kulipuka ndani.
Wengine wanaamini umeme unatumika mwingi kupika kwahyo gharama ni kubwa kuliko kununua mkaa au kuni
Kuna Fala mwingine anasema chakula cha kuni au mkaa ni kitamu kuliko cha gesi au kuni
..Maisha ni magumu.
Kuna muda uwezo wa kufikilia ..unapungua kutokana na stress na uchovu wa akili
..Kuuliza ni muhimu pia ili upate uzoefu wa mtu mwingine
Sitaki kuamini kuwa pamoja na misaada yote kutoka NATO na USA and other members kama south korea bado imekua ngumu Kupambana na Russia anaepata msaada wa north korea tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.