Recent content by Opot opot4

  1. O

    JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    Duh ata kama nimechelewa....nor No reform no election
  2. O

    Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Nimekuelewa sana.pole kubwa utakua una wakati wakutatiza sana.simama kama mwanamke ata kama huna mtoto,mji ni wako wewe ndo unaweza kujenga au kuibomoa nyumba yako,mwambie mwanaume unayoyaona ijapokua atabisha kama mwanaume,fukuza wifi yako kwako.we fukuza tu mji ni wako we mdada na mume ni wako
  3. O

    Hii ni mfano wa prototype ya kiwanja cha KiA kitakavyokuwa kama nikiwa Rais wa Tanzania

    Yani huu ujinga kila kitu samia.samia dei sijui samia chips binafsi vinanikwaza basi tu
  4. O

    Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Kilugha chetu ni chetu,urusi na china wanaongea lugha ipi?maendeleo hayana lugha.no reform ndo tupiganie huku,mkenya ni mbwekaji tu
  5. O

    Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Duh?benki kuu siziko moniterd na benki ya dunia?kwahio wametuchakachua via benki ya dunia ama mimi ndo hua sielewi hapa nieleweshwe.kama kenya katupiga sasa ina maana tumekua tunapigwa benki ya tz ama ni chai mkuu?wapi chanzo cha habari hii nikafukunyue mkulu?si kwa ubaya lakini ni ombi
  6. O

    Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Si wanataka vita?fita ni fita muraaa,ujeuri jibu kwa jeuri tutauza ata kongo wale jeuri yao.mi siwauzii we wauzie tu hamna neno
  7. O

    Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Uhuru wa kuwaza hujanizuia,hongera mwenye akili mingiiii.
  8. O

    Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Wewe uliyepewa akili na movement endeleeni ila hata kama sisi wa hovyo hayawahusu.icho ni kiherehere kilichokomaa,walifinywa hao wanaharakati wenzako hawatarudia bongo hii,sasa tuliwaita?na wewe kujitia ujuaji tu punga wewe.unashobokea wakenya si wakakuoe tu sasa?movement.....kwao na...
  9. O

    Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Eti nyie,hamia kenya sasa,kwani tusi linazuia ugali usiteremke kooni?kufinywa walifinywa waambie waje tena waone.
  10. O

    Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Kenya manina zenu,hatuwashindi kukaa nyuma ya keyboard,waongeeeee tukae kimya wataacha,wafinywe kwenye chakula hawa washenz,wakija kununua mahindi piga bei maradufu au chakula chetu kisivuke mpaka manina hawa tunakua tumewashika pakunyea.wanajionaga hawa watu yani uki battle nao kwenye mtandao...
  11. O

    Nchi inapaa, kelele lazima zitasikika tu, mitano tena

    Mkuu malizia basi nipate kile ulichotaka kusema,kwahio mwandishi ni mtu wa namna gani kwa mujibu wako?mi sijamuelewa alichokiandika na comment nyingi ni kama ninavyowaza.nchi imepaa?mirija bandarini imezibwa?hua naelewa nondo zako
Back
Top Bottom