Recent content by oplusa

  1. O

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    wewe ndio unahangaika JK anakula kuku zake kilaini na akibanwa sana anaenda ikulu kwa Magu kula.Wewe huku uraiani utaendelea kupiga kelele na hata kuingia Ubungo plaza huwezi.Mwacheni JK ameongoza miaka kumi sasa kamuachia mwezake ambaye nae pia siku moja atamuachia mwingine.Hata mpige kelele...
  2. O

    Niwe na PhD kukubali gharama za mradi wa Daraja la Kigamboni??

    Wandugu mnajua issue hapa sio daraja issue hapa ni Ramadhan Dau.Mpaka sasa watu hawaoni raha Dau kuwa uraiani na si kwa sababu ya gharama za miradi ya NSSF bali ni kwa chuki zilizokuwa accummulated for more than 25 years old,chuki ambazo huwa nazo baadhi ya watu wanapoona mtu tofauti na dhehebu...
  3. O

    Niwe na PhD kukubali gharama za mradi wa Daraja la Kigamboni??

    Wandugu mnajua issue hapa sio daraja issue hapa ni Ramadhan Dau.Mpaka sasa watu hawaoni raha Dau kuwa uraiani na si kwa sababu ya gharama za miradi ya NSSF bali ni kwa chuki zilizokuwa accummulated for more than 25 years old,chuki ambazo huwa nazo baadhi ya watu wanapoona mtu tofauti na dhehebu...
  4. O

    NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

    JPM fanya kazi ya uraisi kwa kufuata sheria na kanuni za nchi.Ukiwa kama binaadamu makosa waliyoyatenda wenzako yanaonyesha hata wewe sio msafi kwa asilimia 100.Ukishaelewa hayo utaongoza nchi hii vizuri sana na utapendwa na hata FARU kule serengeti lakini ukiongoza nchi hii kwa ushabiki mwisho...
  5. O

    Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

    Wabongo walioko nje wamegawanyika kwenye makundi.Kuna kundi la wabongo wanafunzi,wafanyakazi wa ofisi za kibalozi,walopata uraia kwenye nchi wanazoishi,maninja(hawana sheria za kuishi kwenye nchi waliopo)nk.Makundi mawili makubwa ni kundi la wazanzibar na wabara.Diaspora ziliundwa ili...
  6. O

    Samuel Sitta: Kama Tanganyika tukikosana na Zanzibar, tunawazimia tu umeme

    Ukimsikiliza huyu mzee na wewe ukiwa ni kijana ni lazima walahi upate wasiwasi kwa sababu zanzibar anayoiongelea ni visiwa ambavyo wakazi wake hawazidi mil 2, lakini huyu mzee anawoga kama vile zanzibar ndio kubwa kuliko Tanganyika. Kwa ufupi ni kuwa wazee kama hawa wanatupoteza sana sisi...
  7. O

    Rais Museveni anachochea chuki baina ya Tanzania na Kenya

    Wakati Tz inatangaza kujenga bandari ya Bagamoyo kenyatta alibwata sana kwa sababu aliona kapigwa bao na ubora wa bandari ya mombassa itakuwa sio kitu kwa bandari ya bagamoyo.Mwaka mmoja baadae kenyatta kaanza kujenga bandari ya kisasa kama itakavyokuwa ya Bagamoyo huko lamu.Kenyatta na wabongo...
  8. O

    Dr. Hassan Mshinda, DG wa COSTECH...

    Kuna watanzania ambao ni vipofu wa akili wakiona hijjab kumi kwenye ofisi wao huita ni ofisini ya upendeleo kwa waislam but hawana data za waislam ni wangapi ktk ofisi hizo.Watz tuacheni fitna hazitotufikisha mbali aloleta uzi huu na wengine kama huyu wana depression. Iangalie COSTECH kabla na...
  9. O

    Rais Magufuli muogope Mungu na tenda haki! Iogope siku ya hukumu

    Watanzania tupige porojo mitandaoni lakini tujiandae hali halisi inakuja.Wakati kabla ya uhuru waislam wanadai ndio walikuwa viongozi wa nchi hii,baada ya uhuru Julius akafanya vitu vyake ingawa kwa usiri wa hali ya juu,mficha uchi hazai Mzee mwinyi akashika nchi akaingalia akhera zaidi kuliko...
  10. O

    Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

    Ukisoma mada hii ya JAGIRO na watu wanaomsupport utagundua uwezo wa akili za baadhi ya Watanzania .Kuna watu kama JAGIRO na wenzake kama ingewezekana manake tungesugua akili zao kwa jik ili ziwe safi kwa ustarabu.Mfano Dr Dau angeajiri waislam watupu NSSF itakuwa ni nini kwenye nchi yetu ambayo...
  11. O

    Uteuzi wa Raia wa Uganda kuongoza NSSF: Ombeni Sefue, Eric Shitindi & Jenista Mhagama wajiuzulu

    . MKUU NINA WASIWASI KAMA WEWE NI MBONGO,SIO KURIIBIA NI KULIIBIA.
  12. O

    Bila ya uvamizi wa Oman, Zanzibar ingekuwa wapi?

    Ami Sheikh Thabit Kombo tutaendea kukukumbuka daima na Allah azidi kukurehemu, lakini hatukusamehe kamwe kuiuza Shirazi Party yetu kwa wakatamaji. Shein na Seif Idd wamuulize Pinda atawambia iwapo wanatawala nchi au wilaya.
  13. O

    Cheo kipi ni kikubwa kati ya Balozi na Director General

    Kweli kabisa aliyosema Bob Marley na Shaaban Robert. Hii ni NSSF pekee je Tanzania nusu ya mashirika yangekuwa na waislam wengi ingekuwaje nadhani wengine mgekufa kwa kihoro.Ni mara chache kusoma humu JF waislam wanalalamika shirika fulani lina wakristo wengi lakini kukuta baadhi ya wakristo...
Back
Top Bottom