Recent content by ophthalmic doctor

  1. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania Bayport yaeleza namna ya kukizi vigezo vya kuomba mkopo

    Msijaribu kukopa Bayport, ni wezi wana lugha chafu ukikopa ukiomba loan balance wanakupiga dana dana, serikali kwa nn hawalioni hili waache kuingia ubiya nao wananyanyasa sana watumishi,
  2. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania Msaada wa location

    Samahanini wadau naombeni location ya Manga high school iliyoko Tarime, nipo Singida ntapanda gari za wapi nifike dogo kapingwa huko A level,
  3. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania CRDB kuna shida gani? Mnachelewesha sana kutoa mikopo

    Au utumishi wanachelewa kupitisha
  4. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania Uhakiki: Nimehitimu darasa la saba 1992 Nitapaje namba yangu ya mtihani?

    Hii ni kwa ambao hawana vyeti vya form four, waliojiriwa kwa vyeti vya darasa la saba, vyeti vya form wanajaza index no
  5. ophthalmic doctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Na watoto ambao umewalea, ukawasomesha na sio damu yako wanafadhila na huruma na msaada mkubwa kwako kuliko hata wale wa damu yako, Na Mungu anakuongezea baraka mara dufu. Hata mimi nina mifano mingi sana.
  6. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunanyimwa haki ya kupata mlo wa mchana na maji kwa miezi mitano sasa

    All in all CCM inachumia nchi yetu laana, mpaka sasa hakuna ushahidi wa kuwa mbowe ni gaidi, waru wanazidi kuteseka buree kwa sababu ya kudai katiba mpya ambayo ni haki yetu. Mama na familia yake, na viongozi wengine wa nchi wanakula mema ya nchi na familia zao., huku wakisema acha wananchi...
  7. ophthalmic doctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka kuachana na Mwanamke ninayeishi naye

    Huna msimamo, tafakari upya wala mwanamke hana kosa hapo wewe ndo umeshindwa kusimama kama mume
  8. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    Kwa sababu wapo karibu na mji mkuu wa Tanzania
  9. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi wanawake wengi hujifungua kwa njia ya upasuaji?

    Safe mode of delivery kwa wasome, mm wangu wote nimechagua mwenyewe so nawahigi mapema, nina wanne nipo stable kama form 1 A
  10. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

    Tukumbushane
  11. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

    Sasa tutamuungaje hapo ndo mtihani
  12. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania Kwa huzuni kubwa, Afande Sele auliza hela ya tozo ya miamala ya simu inaenda wapi?

    So sad, hivi jeshi likowapi mbona tunanyanyasika hivi
  13. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania Kitakachommaliza Mama ni Uzanzibari tu na sio kingine. Hizi kelele zote ni geresha tu, tatizo ni Uzanzibari

    Wananchi tu amkeni tudai katiba mpya kwanza, mengine yatafata
  14. ophthalmic doctor

    JamiiForums Tanzania Kumlipa Clinical Officer laki 6 sio haki hata kidogo

    Ukiwa kazini jiongeze
Back
Top Bottom