Mi sikuona swali lolote zito pale usitake kupotosha watu .. Yote yalioulizwa yalishatolewa majibu. Naona bado mnatamani kuuza sura kwenye screen ili muonekane . Hiyo fursa imeshapotea.
Sasa wewe ulitaka aajiri kuku ili wakawatibu watu. Kumbuka Rais ndio mwajiri mkuu wa serikali. Mambo mengine tufikiri jamani tusiwe watu wa kupinga tu kila kitu nchi hii ni yetu tuwe na uzalendo muda mwingine
Tangu uchaguzi wa tarehe 4/4 2014 kumalizika na kupatikana wabunge saba kama wawakilishi wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki kumekuwa na sintofahamu nyingi juu ya wabunge wawili wanaopaswa kutoka CHADEMA.
Lawrence Masha na Ezekia Wenje kura zao hazikutosha ingawa wakati CHADEMA...
Nichukue fursa hii kumpongeza Rais wetu kwa uamuzi wa kuajiri madaktari wote 258 waliokidhi vigezo.
Napongeza uamuzi huo kwa kuwa umetuletea heshima kama taifa.
Madhara ya kwenda Kenya wakati madaktari wao walikuwa na mivutano ya madai ya nyongeza ya mishahara yangekuwa ni makubwa hasa kiusalama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.