Recent content by Open-Minded

  1. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Achana nae huyo mkuu ndo wale wale wa kujipendekeZa
  2. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Yaani ukitafakari vizuri hizi habari za wapo salama huku wakisema hawajafika ndege ilipo ndo unaona namna tulivyo wababaishaji. Kwanin hawatwambii wamepataje hizo habari??
  3. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    0714005555 weka hiyo
  4. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa
  5. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutafakari sana, huyu ndiye nitakayemchagua kuwa rais wangu!

    Nilichopenda ni kwamba uliweka hii post kabla ya bwana slaa kuongea star tv sasa kwa tuliomsikiliza hiki ndicho aliongea hivyo amethibitisha maneno yako Wananchi tulishaamua
  6. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Mbona ww unaandika utumbo lakini bado tunaendelea kukuvumilia? Unataka wote tufikirie kama ww?
  7. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania Mgombea mwenza wa Magufuli, Samia Suluhu

    Sio uoga wa Amina sema kosa la Amina ni kumtaja Lowasa jana na kuungwa mkono na Lowasa imefanya akose hiyo nafac
  8. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania Alcoholic Anonymous Dar es Salaam

    Watu mkitoka huko mnatusumbua sana hebu twambie AA ndo nn?
  9. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: CCM imeshinda katika vijiji 2,708, Mitaa 644, na Vitongoji zaidi ya 26,300.

    Nape ww wapi aliyekwambia jiji la dar es salaam halina vijiji nan? Chama kweli kimekosa watu. Chakujifunza ni kuwa sio urban authorities zote hazina vijiji kuna baadhi kama dar zina vijiji. Ila rural authorities ndo hazina mitaa kwa hapa Tanzania
  10. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa: Mwakyembe akiona cha moto akiwanadi wagombea wa CCM

    Ukienda isabula msalimie babu yangu nimemsisitiza apige kura kesho
  11. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania yang'ara vijijini zaidi

    Nyakurungu zile risit feki za malipo ya bank uliyofanya mzumbe umemalizanaje? Na kwanini hujagraduate mwaka huu? Unafikiri kwa uliyofanya mzumbe unatosha hata kupost hili bandiko hapa?
  12. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Health System Management!

    Voice of mtwara jitahidi kuwa data unapotoa argiment zako kuliko kuwa too general.je umewahi kuona kazi ya ukatibu afya imetangazwa? Unajua nan anajaza hizo nafac na je unaweza kututajia mtu sociaology or pspa ambaye ni katibu wa afya na kituo alipo ili tuamini
  13. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania CCM yabariki waondoke kunusuru chama Wamo Werema, Tibaijuka, Maswi

    Warudishe hela ndo la muhimu haitoshi tu kujiuzuru
  14. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete awapandisha vyeo wanajeshi 7 kuwa Meja Jenerali

    Mkuu ulitaka mtumie vyeti vya madrasa kwenye ajira? Peleken watoto shule hizi lawama zisije kutokea tena
  15. Open-Minded

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete awapandisha vyeo wanajeshi 7 kuwa Meja Jenerali

    Majini ya kiarabu yamekuharibu wewe
Back
Top Bottom