Recent content by opaque01

  1. O

    JamiiForums Tanzania Dawa ya msaliti hii hapa, wala usiumize kichwa

    Sio rahisi kihivo. Wachache sana wanaoweza. Binafsi cwez kukaa na kitu moyon. I might die of stress
  2. O

    JamiiForums Tanzania Wife material needed

    kwenye color tu pamenikimbiza
  3. O

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ulipoambiwa na mpenzi wako mimi na wewe basi ulijisikiaje?

    Ahshahahaha.....asee had mtu anaharisha kisa kuachwa....hii ni noumer
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mbona siaminiki kwake?

    Mi ni "ke" wandugu.....then ni mara nyingi nkimkosea kwa makosa mengine lazma akumbushie na hilo....kazi ninayo. Lakn i hope mambo yataenda vzr tu.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mbona siaminiki kwake?

    Actually cjawahi kumcheat tena nliamua kubadilika kabisa still kuniamin ndo tatzo
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mbona siaminiki kwake?

    Kabla sijachangia nataka kujua, UMEFANYWA au UMEFANYA? Nimefanya
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mbona siaminiki kwake?

    Asanteni kwa ushaur
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mbona siaminiki kwake?

    Habar zenu, kwa mara ya kwanza napost Jamii forums. Kuna hili jambo mwenzenu laniumiza kichwa. Mpenzi wangu haniamini tena kama zamani kwa chochote kile na yote ni kwasababu niliwahi kumcheat. Lakini alinisamehe na tukaendelea vizuri lakini tatzo sikuhizi haniamini kama zamani ananitilia...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake tu

    Taja sifa zako kwanza
  10. O

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Hatia

    Duh!........story nzuri asee
Back
Top Bottom