Recent content by onyangoz

  1. O

    Akili ndogo inaongoza akili kubwa - Msigwa

    No problems no changes... Complex problems tend to force changes.... In Tz we've no complex problems.... Therefore, no need for changes in Tz.....
  2. O

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    pumbavu kabisa!!!! Kumbe watu wengine wanahangaika kutafuta kipato kihalali kumbe wengine wanajibonyezea tu maisha kwa kidole kiulaini!!!!! Ndiyo maana hata mi'siku hizi nashangaa watu wakawaida sana wapiga diri wanakuwa matajiri ghaflaghafla hadi najiuliza au maisha magumu yako kwangu...
  3. O

    Bora nusu shari kuliko shari kamili, zomezomea ya UKAWA yaitisha CCM

    Mzee wa sawasawa kawanyima raha wakijani!!!!!
  4. O

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    yes mkuu!!! Hapa wacha tuisome nambari kama tulivyopenda!!! Ikibidi hadi kodi ya baiskeli irudi maana serikali haina pesa!! Watz tusipende vya bure sana; fanya kazi ndiyo ule!!!!!
  5. O

    Serikali isitishe dhuluma hii inayofanywa na TANESCO na mitandao ya simu

    hapa kazi tu!!! Tumeichagua wenyewe sasa tuipende tu! Ukipenda tunda penda na ua lake!!! Ccm mbele kwa mbele.
  6. O

    Ukimya na giza baada ya uchaguzi

    naukitaka kuamini kwamba ushindi wa Pombe sihalali we pitapita mitaani mkoa kwa mkoa utaona jinsi watz asilimia kubwa walivyosononeka na kuhuzunika!!! hiyo inaashiria kwamba Pombe hakushinda isipokuwa walipika matokeo yao!!! we just pitapita tu mtaa kwa mtaa afu utapata jibu mwenyewe!!!!!
  7. O

    YAMETIMIA! Nini Hatma ya wagombea Urais wa CHADEMA?

    mijitu imekwiba kura afu inamdhihaki Mwenyezi Mungu kupitia biblia takatifu!! alaniwe mtu yule alitumie neno la Mungu wa ibrahim, isaka na yakobo kuhalalisha uovu na dhuluma!!! Tazama utawala huu wa Pombe utaparaganyika tu kwakuwa haukuingia madarakani kwa haki!!!
  8. O

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    hayo ndiyo mambo ccm afu tunadanganywa eti tz kuna vyama vingi!!! bora mbakie ccm peke yenu ijulikane moja watu waachane na huu upumbavu wa danganya toto eti kuna vyama vingi!! shame on you ccm!!!
  9. O

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    hayo ndiyo pure majibu ya wana ccm afu tunadanganywa eti tz kuna vyama vingi!!! bora mbakie ccm peke yenu ijulikane moja watu waachane na huu upumbavu wa danganya toto eti kuna vyama vingi!! shame on you ccm!!!
  10. O

    Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

    nakwakweli kwasasa kila mtu naubebe mzigo wake mwenyewe!!! hakuna cha aah mjomba unajua nina shida ya ada mara aah unajua mdogo wangu ninaomba msaada wa kaela nikalipie matibabu ya ndugu yako au mtoto wa kaka yako!!!! hapo from now on nikila mtu na mzigo wake!!! watz tumeishi kwa kusaidiana...
  11. O

    Kati ya sababu zote zilizotolewa, ZEC itufafanulie hili

    Enyi wazanzibar mbona mnapelekeshwa na tanganyika as if you're under colonal rule?? Hamna say kwenye nchi yenu wenyewe, kila kitu mnaamuliwa na tanganyika!! I really feel sorry for you zanzibar! A country believing to be free/independent while still under colonization!!
  12. O

    CHADEMA msichezee amani ya Tanzania, angalieni sababu za nyie kushindwa

    Watu huheshimiana pale ajulikanapo mkubwa nani na mdogo nani!!!!! Nchi hii hatuheshimiani ndio maana dharau ya dhahiri imekithiri!!! Watu wenginine wakishinda "matokeo yanakuwa halali na uchaguzi hauna tatizo" ila wengine wakishinda "matokeo yanakuwa batili na uchaguzi unakuwa si'halali"...
  13. O

    January Makamba: Uchaguzi Zanzibar hauna mahusiano na uchaguzi wa Rais wa Jamhuri

    Hakika mwenyezi mungu wa ibrahim, isaka na yakobo mungu bwana wa majeshi atawaumbua hawa ccm wapindishao haki ya taifa lake tanzania!!! Tanzania inaweza kuwepo hata bila ya ccm. Wasijifanye kama wao ndiyo miungu ya nchi hii kwamba lolote walitakalo lazima liwe!!! Hakika hakuna damu ya mtz...
  14. O

    Majimbo ambayo UKAWA wameshinda Ubunge lakini Magufuli ameongoza kura za Rais

    maajabu sana mkuu hata mimi nimepigwa na butwaa sana!!!! na ndiyo maana walilazimisha watu wakalale baada ya kupiga kura!!! ccm a complete disastor!!!!
Back
Top Bottom