Recent content by Ontuzu

  1. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hawa caretakers wanaorudi wali excel sana pindi walipokua na timu acha walewe kwa mara nyingine on urgency basis
  2. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tayari walishafanya nao mawasiliano kuna uwezekano wakaungana na Fletcher head coach akiwa Ole
  3. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ole na Carrick ni watu sahihi kuwapa timu hadi mwisho wa msimu ili kurudisha furaha Utd. Wana dna ya club wanatumia philosophy ya club. Baada ya msimu board ipime ubora wao na walikoifikisha timu waone kama wanaweza kuwapa permanent contract
  4. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Majeshi yote ni mali ya TANU toka mwaka 1964 mpaka leo. Nyerere aliagiza hivyo

    Madini kama haya yameadimika sana JF, ukibahatisha kama hivi siku yako inakua imeenda vizuri kabisa
  5. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Iran wameiomba na Cyprus pia ijaribu kuongea na Israel wasitishe mashambulizi. Kumbuka Israel wameondoa ndege zao karibu zote pale Ben Gurion airport wamezipeleka Cyprus na mataifa mengine ya ulaya kwa usalama
  6. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Rais Trump awapa siku tatu Hamas kuwaachia mateka wanaoshikiliwa

    “…we have given Hamas ‘till Saturday noon to release the Israel captives, i know they will act tough guys, we will see how tough they are…” Trump! Hili ‘biti’ limekaa kibabe sanaa
  7. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Aliondolewa 2022, karudishwa tena 2024! I’m confused

    Kwa mtazamo wangu, kaletwa mahsusi kudeal na Tanganyika Law Society (TLS), kubadili/kufanyia marekebisho sheria yao hasa Section 4. Utakumbuka alichokifanya akiea kwenye wizara hii kipindi cha Magufuli na badae alipoingia Mwakyembe
  8. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Tuelewane: Urusi inapigana na Ukraine tu, sio West, Marekani au NATO

    Kwahiyo mkuu, unapopigana na adui/mpinzani wako unampa masharti ya kwamba asitumie mguu na mkono wake wa kulia kushambulia/kupiga kwasababu vina nguvu sana, atumie tu mkono na mguu wa kushoto kwa sababu ni dhaifu. Halafu unataka ukimpiga useme umeshinda
  9. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Tuelewane: Urusi inapigana na Ukraine tu, sio West, Marekani au NATO

    Ongezea pia kwamba, hata taifa lolote likionekana linatoa aina yoyote ya msaada wa kivita kwa Mrusi na lenyewe linawekewa vikwazo au kutishwa, mf. South Africa juzi hapa
  10. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wanataka kumuaminisha Zelensky kua kuna mpasuko mkubwa Russia tena kwenye inner circle ili aone sasa ni wakati sahihi kurudi nyumbani kuanzisha counter-offensive haraka kabla hawajaelewana na kujipanga upya. Akifanya kosa hilo hatokaa asahau. Chess inayochezwa hapa si ya kiwango cha dunia hii...
  11. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Wanajamvi, anayejua kwa undani mgogoro na mapigano yanayoendelea huko Sudani, naomba atueleweshe

    Nimesoma chanzo kimoja kinasema mzozo huu kati ya viongozi wanaoongoza serikali ya kijeshi ya mpito Sudan umechagizwa na USA na Russia. Wiki kadhaa zilizopita waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov alienda Sudan kwa mazungumzo hasa kuruhusiwa kuweka military naval base yao pale Red Sea...
  12. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hiki ulicho post kimeakisi JF ya kipindi hicho, JF iliyokuja kujizolea umaarufu na wingi wa followers hii leo kwakua mtu alikua akileta habari enzi zile anadondosha na ushahidi ambao unaacha silimia ndogo sana ya mashaka
  13. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa ndege za kivita, funzo la vita vya Ukraine na Urusi

    Ukijibiwa naomba unijuze
  14. Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    "Kama"...
Back
Top Bottom