Recent content by only for studying

  1. only for studying

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Nikajua ni huku kwetu tu migombani ambako nndo tunafurahiaga maji misimu yote lakini awamu hii sijawahi ona ukame mpaka ardhi inapasuka mabomba hamna maji🗿😟🗿
  2. only for studying

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa alikuwa anataka kunichomesha kwa Viongozi

    Kunakuwa na mwangwi kama mtu yupo kwenye ukumbi na maneno yako kama yanajirudia mwishoni
  3. only for studying

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa Safina ya Nuhu imeonekana, basi ni kweli hata Moto wa Milele upo. Tutubu Mapema!

    Embu mkumbushe moto ulitokea marekani 2016 Gatlinburg tenessee na teknolojia yao ya hali ya juu lakini hawakuweza kuuzima ili kudhihirisha uwepo wa Mungu ukazunguka kanisa bila kuchomwa
  4. only for studying

    JamiiForums Tanzania Mungu yupi ni sahihi? Karibu tujadili

    Ni sawa na kusema kama elimu ni moja kwanini kuna shule nyingi 🤔
  5. only for studying

    JamiiForums Tanzania Watu wanaiongelea ndege ya B-2 “Spirit” ya US inavyofanya mashambulizi huko Iran, unajua ina balaa gani?

    Spider man kama sikosei away from home kama sijakosea title wapo avengers ijapokuwa niliiona kama ya kitoto zaidi kwa fiction zake
  6. only for studying

    JamiiForums Tanzania Je ? Kuwa mtu mwema ni kweli kunakufanya uishi maisha bora hapa duniani ?

    Ukiona mtu mbaya anafanikiwa anatembelea karma ya wazazi wake angalia uzao wake ....wema unalipa kuliko ubaya
  7. only for studying

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kufungua Jicho la Tatu

    Wachache nndo watakuelewa labda umwambie ni ile hali ya mtu kusema fulani nikikutana naye moyo wangu unakosa amani na vivyo hivyo mwingine unapata amani hutaki hata aondoke au unaweza kusoma mod za watu kwa kumuungalia mtu unajua anaumwa au hana raha kufili sononeko la mtu anapokuwa anakuelezea...
  8. only for studying

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

    Ungeuliza huwa mnafurahia nini mbali na ulivyoviorodhesha
  9. only for studying

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

    🤣🤣🤣🤣🤣
  10. only for studying

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utapeli biashara mtandaoni: Shuhuda za watu waliowahi kupigwa na kujuta sana

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nikakuta mabegi ya watoto mazuri kwa muonekano sikusoma details za size siku vinafika ....vibegi vya mdoli😄🙉
  11. only for studying

    JamiiForums Tanzania Nimeshazichoka vurugu za watoto, bora shule zifunguliwe

    😂😂😂😂😂Watoto wa elfu mbili nao wana watoto full vurugu
  12. only for studying

    JamiiForums Tanzania Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

    Embu tupe somo kidogo jinsi ya kufanya hizo hatua (ku-chant)
  13. only for studying

    JamiiForums Tanzania Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

    Ingia youtube andika ushuhuda wa mchungaji Aminiel Katekela anzia hapo nndo utapata mwanzo mzuri wakujua mambo ya frequency yeye anaita lcd za haki na mengine mengi ya kiroho (alikuwa mchawi mkubwa akaokolewa na Yesu)
  14. only for studying

    JamiiForums Tanzania Inatumia muda gani mpaka pesa ya mkopo kuingizwa kwenye account?

    Vipi ulishawekewa au hadi leo ni kimya?
  15. only for studying

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekua kero kwangu, mbona mimi sikuchangisha mtu ata senti moja

    Ya kwangu nilifanya hivi mpaka leo amani ndugu wanabaki wakishangaa tu hawazubutu kunisumbua kuchanga
Back
Top Bottom