Recent content by Only by his grace

  1. O

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Tanzania haijawaji kukumbwa na uhaba wa chumvi?

    Co lakini ukiangalia Coverage ya chumvi kimatumizi ni kubwa kuliko sukari vijijini wengi hawatumii sukari kwa maana kunywa chai sio mara kwa mara.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makonda wapata ajali

    Una mafuta ya kutosha?
  3. O

    JamiiForums Tanzania Papa: Wanaokosoa baraka za wapenzi wa jinsia moja ni wanafiki

    Mtu mmoja anapotumika kuchafua taswira ya sehemu au watu fulani usihukumu watu wote bali chunguza huenda naye ni udhaifu wake
  4. O

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    Ha Hayo tayari si yashakuwa masharti je, hapo kuna uwepo wa MUNGU... Au unakuwa na imani yako binafsi?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    Je, waoweka kwenye mboga hiyo haiondoi negative energy?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    Kila mtu hukosa maarifa sehemu fulani fomu foo kusema hivyo usiwahukumu moja kwa moja hata wewe una udhaifu pia kama wewe na elimu yako umegundua nini dunia ambacho kinasaidia watu? Watu tujifunze kuelimishana kwa hekima
  7. O

    JamiiForums Tanzania FT: ASEC Mimosas 3-0 Galaxy | CAF CL | 19.12.2023

    chanel gani azam
  8. O

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

    Mpokee yesu atajithibitisha mwenyewe katika maisha yako
  9. O

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

    Mimi siwezi kuhoji ukuu wake, mwanadamu analimiti ya kujua mambo ndio maana hata mzazi wako hawezi kukushirikisha kwa kila kitu. Mambo ya kiMungu ni magumu kuyajua kiroho omba neema uwe karibu naye huenda yeye mwenyewe akakufunulia ukawa mshuhuda wetu. Niseme tu kwamba hata akikugunulia ukaja...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

    Mtu hakosei bali tamaa yake ndio inampelekea kukosea, binafsi naelewa miili yetu hii ni kama chombo kinachoendeshwa tu ambacho kinapokea nguvu toka pande mbili 1. Shetani 2. Mungu Ukimuamini mmojawapo matendo yako yataendana na upande huo japo kuna watu wanakuwa vuguvugu kwamba kila upande yupo...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

    Kubali kwanza unahoji imani ya mtu maana mtu ndio anaeamini uwepo wa Mungu wake?
  12. O

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

    Wewe unaamini Mungu yupi?
  13. O

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

    Na wewe tofautisha kati ya "piki" Na "pili" Umesema mwenyewe kila mtu aachiwe aamini anavyotaka sasa mbona unahoji imani za watu? Wewe kuna siku tulikuambia ututhibitishie huyo mungu wako unayemuamini? Sisi tunaoamini uwepo wake mbona huwa hatuhoji kile ninyi mnachoamini na kama ni hivyo na...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

    Wewe mwanao uliemzaa akikukosea huwezi ku Nawewe si ulijua utazaa watoto, watoto wako wakikukosea huwezi kuwaazibu kwa maneno au kwa vitendo? Wewe hujawahi piga hata mtoto wako?
Back
Top Bottom