Recent content by onkoko

  1. onkoko

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Kile kikao cha mweshimiwa sana na watendaji wa kata matokeo yake ndoo hayo
  2. onkoko

    JamiiForums Tanzania Mtego kwa ajira vijana wasiojiandikisha hawatapa ajira watakula jeuri yao

    Utuache toka nimalize chuo 2015 cjawahi sikia neno ajira Leo unataka kunitisha kuwa nisipojiandikisha hung ajiri, bora nife njaa nikiwa huru
  3. onkoko

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    [Kajenga nyumba za jwtz nchi nzima QUOTE="britanicca, post: 33128597, member: 290488"] Kwa Kifupi Kikwete kafanya Mambo mengi sema kosa alilofanya ni kuruhusu watu wamchezee sharubu Kikwete Kaongeza Hospital kadhaa While za Kata Nyumba za watumishi wa Umma kama Polisi na Walimu Vivuko nchi...
  4. onkoko

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Endeleeni kujiteua ili kutimiza adhima ya kiua upinzani. Sisi vijana tupo mtaani jobless then mnakuja kusema nikatimize haki ya kikatiba ya kuwaajili,? Mtuaache tuendelee kupambapana na hali zetu.
  5. onkoko

    JamiiForums Tanzania Kosa la Kebwe ni lipi?

    Mimi sio zembe wivu tuu umewajaa
  6. onkoko

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Semeni kuwa mnanisema mimi Ngoja niende kwa Mange.
  7. onkoko

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 2: Korosho

    Umerudi safari yako ya Japan? # FaizaFoxy
  8. onkoko

    JamiiForums Tanzania NEC wajibu baada ya Mahakama kubatilisha Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi Mkuu

    Kim singing makabila ya wandali na wanyakyusa wanazunguza lugha zinazofanana na watu wa Africa magharibi hasa Nigeria na Ghana.
  9. onkoko

    JamiiForums Tanzania NEC wajibu baada ya Mahakama kubatilisha Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi Mkuu

    Atuganile maana yake anatupenda
  10. onkoko

    JamiiForums Tanzania Kuhusu CHADEMA ya Mbowe nayasema haya kwa masikitiko sana

    Mtaje wew
  11. onkoko

    JamiiForums Tanzania Kuhusu CHADEMA ya Mbowe nayasema haya kwa masikitiko sana

    Broo kama ni wew uliyeandika yule Facebook kumnanga mbowe na chedema sasa nimekutambia jina sikutaji ila jifunze kuvaa uhusika wa mateso ya mwenzio Mdude CHADEMA
  12. onkoko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

    Katika biblia kulikuwa na mfalme Daudi ambaye mwanaye Absalomu alipanga njama ya kumpindua Daudi ili Sulemsin akose ufalme lakini Daudi alikwambia Yoabu kuwa Absalomu asiuawe baada ya kukamatwa, yote hii inatufundisha kuchualiana na kusameheana
  13. onkoko

    JamiiForums Tanzania 2020: Huku team ( nape, January, bashe, membe, jk, mwiguru) vs team ( lowasa, rostam, bashiri, pole pole, apson, mzee baba) vs team ( ukawa)

    Write your reply...hivi ni state house ama white house?
  14. onkoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wakuu

    Nimeishi naye kwa miaka mitatu na sasa nimemtaftia kazi ila naona yupo busy kubadili nywele kichwani
Back
Top Bottom