2020: Huku team ( nape, January, bashe, membe, jk, mwiguru) vs team ( lowasa, rostam, bashiri, pole pole, apson, mzee baba) vs team ( ukawa)

Umejitahidi kuwa neutral mkuu, though ni mapema sana kujadilli hayo, kwani kama historia inavyotuambia CCM imeshajiandaa na imejizatiti kutawala awamu kadhaa zijazo (mikakati yao haipingiki)...
Upo sawa kwa unachokisema ndiyo maana kunatofauti kubwa kati ya kutawala na kuongoza nchi

Je,Unaweza nipa hiyo chanzi/ historia inayotuambia hayo nikapitie mkuu?

Ukikua utanielewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
po sawa kwa unachokisema ndiyo maana kunatofauti kubwa kati ya kutawala na kuongoza nchi

Je,Unaweza nipa hiyo chanzi/ historia inayotuambia hayo nikapitie mkuu?

Ukikua utanielewa!

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
mkuu upo sahihi sana, mimi mtoto bado, sielewi nilisemalo... :D:D:D:D:D
 
Ni ' Mpumbavu ' tu pekee ndiyo anadhani kwamba mwakani ( 2020 ) CCM kitashindwa na ' Upinzani ' wa ' hovyo hovyo ' uliopo nchini Tanzania kwa sasa. Ninachojua na ambacho nina uhakika nacho tu ni kwamba CCM itaongoza nchi hadi pale ama Yesu Kristo wa Nazareth atakapokuja Kutukomboa au pale Dunia itakapopinduka. CCM wako Maili 7500 huku Upinzani ndiyo Kwanza ukiwa Maili 13 hivi hapo unategemea nini?
Mkuu nikuulize kitu, tuashume umetokea "muujiza" kura zikawa haki bini haki, unahisi hichi ulichokisema kitakua sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo kama haya nikushauri tu yaweke akiba kwa 2025.
2020 Rais ni yule yule asiyeyumbishwa na yeyote yule ila mama yake tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh!!! Mbona issue ya MO tayari ameyumbishwa ... ???

Tena ameyumba kwelikweli ... kalikoroga mwenyewe anajikosha kwetu kwa anamsakizia Mambosasa alinywe ...

Kama hayumbishwi angetulia tu ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote hao watakuwa Sambamba Na Rais Magufuli kumpigania Na kumtetea kwa Hali Na Mali japo unaruhusiwa kuota upendavyo!

CCM Ni Chama Cha 'Mapinduzi'
Mabingwa wa Utabiri washatabiri Sana Anguko la CCM huko Nyuma lakin wakadhalilika

Mzee Nyerere alitulia Sana Kutengeneza CCM akatengeneza kitu Kweli Kweli, kwa hili twamshukuru Sana

Nguvu ya ccm haiko popote unapotaka tuamini. Nguvu ya ccm iko ndani ya madaraka ya mwenyekiti wa ccm anayopata kupitia cheo cha uraisi. Ccm hivi leo ikisimama kama chama cha siasa inaanguka kama mti usio na mzizi. Ndio maana ccm fanya ufanyalo hawako tayari katiba ibadilike itakayomnyima rais nguvu ya kufanya atakavyo. Ubora wa chama unaoletwa na ubovu wa katiba huko ni kujidanganya mchana kweupe.
 
Ni ' Mpumbavu ' tu pekee ndiyo anadhani kwamba mwakani ( 2020 ) CCM kitashindwa na ' Upinzani ' wa ' hovyo hovyo ' uliopo nchini Tanzania kwa sasa. Ninachojua na ambacho nina uhakika nacho tu ni kwamba CCM itaongoza nchi hadi pale ama Yesu Kristo wa Nazareth atakapokuja Kutukomboa au pale Dunia itakapopinduka. CCM wako Maili 7500 huku Upinzani ndiyo Kwanza ukiwa Maili 13 hivi hapo unategemea nini?

Nguvu ya ccm iko ndani ya madaraka ya rais ambapo anaweza kuviamrusha vyombo vya dola na taasisi za kimamlaka kuipendelea ccm. Wanaccm tuko nao maana ni wananchi wenzetu, uwezo wao tunaufahamu na wapi tegemeo lao lilipo. Ccm kama chama haina mkakati wala nguvu yoyote ya ushindi wa zaidi ya 50%. Bila mamlaka ya urais anayoyapata kupitia katiba inayomgeuza Mungu, ccm na TLP tofauti yao kubwa itakuwa ni umri wa chama kwa sababu za kihistoria na rangi ya bendera fullstop.
 
Hicho ulichokisema hapa hata hao Upinzani nchini Chama chao Kimoja kingeshika ' Hatamu ' nchini hata na Wao wangefanya hivyo hivyo. Acheni Unafiki!
 
2020 sipati picha kinyanganyiro cha timu tatu hizo kuelekea white house ( jengo jeupe).

Hizi team mbili za mwanzoni zinapiga mazoezi kwa pamoja lakini siri iliyopo Mungu ndio anajua.

Hii team ya tatu yenyewe 2020 yawezekana ikaokota embe kutoka juu ya mti wa mpera kutokana na team mbili kushindwa kuafikiana kwenye kamati kuu yao ya chama.

Kwa hasira wataona ni bora timu zote mbili zikose na kumrushie embe team ukawa .

Yaani sipati picha 2020 ,ila team ya pili kwa kuwa ina watu wenye akili kubwa kama akina Epson wanaweza kuchomoka.

Yetu macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
aah wapi!

CCM ni mashetani.... lao moja.
wapo radhi damu ya mmoja wao wainywe ilimradi tu upinzani usishinde.

UKAWA wasijidanganye kutegemea kushinda kupitia udhaifu wa CCM. ushindi utapatikana kupitia mikakati thabiti, jitihada na uwezo wa UKAWA wenyewe.
 
hizi zingine ni porojo tu,,
Ccm ya magu imeshamaliza kila kitu 2015 alikuwa magu 2020 atakuwa tena magu hakuna cha kura ya maoni wala maini
hao uliowataja hapa washauri waende timu nyaradu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020 sipati picha kinyanganyiro cha timu tatu hizo kuelekea white house ( jengo jeupe).

Hizi team mbili za mwanzoni zinapiga mazoezi kwa pamoja lakini siri iliyopo Mungu ndio anajua.

Hii team ya tatu yenyewe 2020 yawezekana ikaokota embe kutoka juu ya mti wa mpera kutokana na team mbili kushindwa kuafikiana kwenye kamati kuu yao ya chama.

Kwa hasira wataona ni bora timu zote mbili zikose na kumrushie embe team ukawa .

Yaani sipati picha 2020 ,ila team ya pili kwa kuwa ina watu wenye akili kubwa kama akina Epson wanaweza kuchomoka.

Yetu macho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo siasa zako labda 2025 kwani JPM hana mpinzani na anayempinga ndani ccm ni mbinafsi na fisadi. Akina Mbowe na Lissu nao hawana jipya ila waendelee na roadshows zao.
 
Kuna Mtu Atakohoa Damu Hiyo 2020 Team No.1 Imejaa Winga Vijana Na Machachari Lakini Team 2 Imejaza Viungo Wakongwe tu wasiokuwa na Pumzi ya Mchakamchaka Na Team No.3 ndio mpango Mzima na Ndio Mpango wa Mungu.

TUNDU LISSU RAIS 2020.

"kinacho Sura,Kina Kisogo"
 
Back
Top Bottom