Recent content by oninho

  1. O

    Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

    Hivi Tanzania kuna vyuo vingapi?? Tunaomba ututajie viongozi wa vyuo vyote ili tuweze kuona kama unachokizungumza kina mashiko
  2. O

    Hii wana JF nyie mnaona imekaaje??

    Kuna hil swala mie sioni kama limekaa vizuri na lina tija mbele ya watanzania ambao tunahitaji maendeleo na mustakabali wa nchi yetu. Tunafahamu kila chama cha siasa kina msemaje wake kwa mambo yote yanayohusu chama husika mfano CCM yupo NAPE NAUYE, CHADEMA yupo John Mnyika, sasa inapotokea...
  3. O

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Mhhhhhhh kwa hyo pesa zingine tena zinaenda kuchezewa tena ?? au hakutakuwa na kampeni tena?? Hivi kweli tutafika kwa mtindo huu??
  4. O

    CHADEMA ni sawa na 'Simba mfa maji'

    Mmmm Jamani humu ndani kuna watu inabidi wakapimwe akili au Administrator aweke code za kuverify kwamba anaye log in na kuweka thread yake ni mtu mwenye akili na utashi na sio kama roboti.....!!! Tuache kufikiri kwa kutumia tumbo
  5. O

    U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    Dah ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi...............
Back
Top Bottom