Recent content by onesti shirima

  1. onesti shirima

    REPORT YA .............. NI KWAMBA YANGA NI DHAIFU SANA

    Hayo majina Mimi sijayataja Sent using Jamii Forums mobile app
  2. onesti shirima

    REPORT YA .............. NI KWAMBA YANGA NI DHAIFU SANA

    Report ya mheshimiwa mkaguz ni kwamba yanga ni dhaifu na ina stahili kujitathimini kwa kina Sent using Jamii Forums mobile app
  3. onesti shirima

    Naomba msaada wa kuanzisha mradi huu

    Exactly good advice to this mpauko who need sympathy Sent using Jamii Forums mobile app
  4. onesti shirima

    Naomba msaada wa kuanzisha mradi huu

    Halafu kwa nini ujiite mpauko??? Hujui maneno yana umba? Utapauka kweli shaur yako Sent using Jamii Forums mobile app
  5. onesti shirima

    Naomba msaada wa kuanzisha mradi huu

    Umemshaur vyema pia Sent using Jamii Forums mobile app
  6. onesti shirima

    Uchaguzi Mkuu India: Watu Milioni 900 kushiriki kupiga kura

    Hii nchi inawatu wengi balaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. onesti shirima

    Usilolijua kuhusu ng'ombe kuzaa mapacha

    Ila pale hajatoa majibu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. onesti shirima

    Usilolijua kuhusu ng'ombe kuzaa mapacha

    Sawa baba Sent using Jamii Forums mobile app
  9. onesti shirima

    Usilolijua kuhusu ng'ombe kuzaa mapacha

    Nitakuja na sababu very soon Sent using Jamii Forums mobile app
  10. onesti shirima

    Usilolijua kuhusu ng'ombe kuzaa mapacha

    Hapa ni kwamba watakuwa tasa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. onesti shirima

    Usilolijua kuhusu ng'ombe kuzaa mapacha

    Ngugu wana jf nimeleta hii thread kuhusu ngombe anaye zaa mapacha: UKWELI NI KWAMBA:Endapo ng'ombe ata zaa mapacha na akawa amezaa jike na dume hio product haitaweza kuzalisha tena ila endapo wakazaliana wa jinsia moja watakuja kuzaa kama kawaida Sent using Jamii Forums mobile app
  12. onesti shirima

    AFCON : KUNA MATUMAINI TIMU YETU YA SERENGETI BOYS KUFIKA MBALI

    Sent using Jamii Forums mobile app
  13. onesti shirima

    Natafuta mtu wa kufanya nae biashara katika internet!

    Biashara ya aina gan labda Sent using Jamii Forums mobile app
  14. onesti shirima

    Tatizo la ajira kwa vijana waliohitimu chuo nani alaumiwe??

    Mimi serikal inaposema nikaji ajiri inanichanganya sana , maana ya kujiajiri nini labda ? Maana ukisema uingie kwenye kilimo ni ngumu zote tunaona mvua hazipo pia kilimo kinahitaji capital pia Sent using Jamii Forums mobile app
  15. onesti shirima

    Tatizo la ajira kwa vijana waliohitimu chuo nani alaumiwe??

    Hapa nakubaliana na wewe ,lakin our government sidhan kama wapo aware na kuwa sponsor vijana ambao ni innovative Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom