Tunatafuta mtu aliyesomea ufagaji na hasa ufagaji wa nguruwe akafanye kazi katika shamba kubwa la nguruwe.
Sifa kubwa awe na diploma ya mifugo na awe tayari kufanya kazi Mkoa wa Pwani.
Kwa mawasiliano piga simu 0715 744518
Kwanza nichukue nafasi hii kumpongeza Mh Rais kwa jitihada zake za kujaribu kupunguza matumizi ya serikali yasiyo ya lazima. Ultimatum mabovu limekuwa tatizo kubwa sana Tanzania kwani hata wageni wanatucheka kwa kukosa vipaumbele. Unakuta akina mama wajawazito wanalala chini, watoto wa shule...
Wanajamvi,
Kwa watu wanaotoa maoni huru bila ushabiki uchaguzi wa mwaka huu ndio uchaguzi mgumu zaidi katika historia ya Taifa letu. Ni kweli kwamba Chama cha Mapinduzi kimeshinda katika chaguzi zote za vyama vingi lakini mwaka 1995 na 2010 kilipata kura za urais wa asilimia 60. Hii ina...
Si kweli kwamba Mh magufuli hana kashfa. CAG siku Dec 2014 alizungumza na Radio ya Umoja wa mataifa alilaani sana ufisadi mkubwa katika kupeana nyumba za serikali na magufuli ndie alikuwa mhusika. Pia kulikuwa na tuhuma kuwa Magufuli aliwagawia nyumba za serikali ndugu zake ambao walikuwa...
Chama ndicho kinazaa serikali na chama actually kinaimiliki serikali. Kama chama kikikosa imani na Rais kitamfikuza uanachama na kitawaambia wabunge wake wasiendelee kumuunga mkono hivyo serikali yake itaanguka. Hivyo ndivyo ilivyotea SA wakati wa Thabo Mbeki. Sasa kwa Tanzania chama kina ilani...
R.B sitetei ufisadi ila nasema swala la ufisadi linatumika kisiasa zaidi. Mh Magufuli amehudumu katika wizara nyingi na huwezi kujitokeza na kusema wizara hizo wakati wake hazikuwa na ufisadi. Angalia ripoti ya mwisho ya CAG kuhusu wizara ya Magufuli utakuta kuna ufisadi wa kutisha. Kama...
Sioni ushindi wa kishindo katika uchaguzi huu. mwaka 1995 pamoja na uwepo wa Mwl Nyerere na Mrema kutokuwa na mikakati na kuharibiwa kwa uchaguzi wa DSM bado Mkapa alipata around 60%. Mwaka 2010 pamoja na JK kuwa encumbent na kutokuwa na matayarisho ya kutosha kwa Chadema bado Chadema walipata...
Kikubwa zaidi kila mwanasiasa ana nyakati zake. Nchini Kenya mwaka 1992 Keneth Matiba alipotua uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta alilakiwa na watu zaidi ya milioni moja. Katika kura za jumla alipata asilimia zaidi ya 35. Uchaguzi uliofuata aliporomoka na baadae akapotea kabisa katika siasa. Kwa...
Kuhusu wimbi la Dr Slaa na Prof Lipumba, sioni kama watakuwa na madhara makubwa. Inavyoonekana watu waliwaamini kwa kuwa walikuwa viongozi wa mapambano. Kwa vile wamejitoa katika mapambano inaonekana wananchi wanataka kusonga mbele. Ukiachilia mbali maandamano yaliyopangwa na wafuasi wa CCM...
Lowasa si mgombea binafsi bali anawakilisha vyama vinne. Kwa vile katika ilani ya uchaguzi katiba ya wananchi imepewa kipaumbele na UKAWA ilianzishwa kwa ajili ya kutetea hilo, sioni Lowassa hata kama hana nia ya kuzingatia hilo ataweza kuzuia katiba ya wananchi. Na kwa vyovyote vile Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.