Recent content by Onemee

  1. O

    Mwanamke ninayempenda kanikutanisha na bwana yake, nimetukanwa kama mbwa

    Hapo hujadhalilishwa bro umejidhalilisha mwenyewe, ulishalewa mapenzi ukasahau focus zako kimaisha, mtu alishakupa hadi mtaji umeshindwa kufanya vtu vya maana, huna cha kumlaumu huyu bibie amekusaidia Sana
  2. O

    Guardiola atamaliza nje ya Top 4

    Ulipoanza mwanzo nilijua mchambuzi wa soka badae umeonyesha kua ni mshabiki flani tu, kiuchambuzi wa HD Man Utd lazima amalize top 4 na wachambuzi wengi duniani c tu wameiweka United katika kinyang'anyiro cha top 4 bali wameona United ndio tim pekee inayoweza kumfukuzia Chelsea, liver arsenal...
  3. O

    Natafuta mchumba wa kiume

    Muwe mnaweka na picha maana mambo yakutafuta wachumba humu tena mtoto wa kike!! Inamaana hukp nje hawajakuona
  4. O

    Undugu wa kiafrica...naona bora marafiki tu!

    Hayo matatizo yapo sana hasa kwa tuliozaliwa Wengi, lakin ukweli ni kwamba ndugu yako hata akuchukie kiasi gan ni vigumu sana kuja kukudhuru, napenda kusikiliza quote flan iv ya Claus wa The Originals anasema We are always bound together with whom we share blood, trust me hata mchukiane kiasi...
  5. O

    Kuhusu Ommy Dimpoz, Alikiba na Mr Nice, yamezungumzwa haya na Meneja wa Diamond

    Mwaka 2017 Turanians sana Marekani, na yy ndio muunganishaji wa kolabo za kimataifa, nafikir nimemuelewa
Back
Top Bottom