Recent content by OMWAMI2020

  1. OMWAMI2020

    Kilichonikuta leo kinaniumiza kichwa changu

    Pepo la uzinzi anakukaribia , piga maombi sana .
  2. OMWAMI2020

    Jamii inayonizunguka inanipa mawazo sana ndugu zangu

    Katika maisha unatakiwa kuwa na msimamo na ufuate kile wewe mwenyewe unaona kinafaa kulingana na mazingira yako . imekuwa kawaida watu kusema ndoa inaleta baraka lkn kwa maono yangu ndoa italeta baraka pale MTU kwa utashi wake ataona ni wakati muafaka kwake kuoa na sio kuoa kwa kushinikizwa na...
  3. OMWAMI2020

    Siku nisiyoisahau milele

    Kama vile nimepotea njia
  4. OMWAMI2020

    Trapped to a married man

    Ivi km wewe ndo ungekuwa mke wake ingekuwaje ? Je Huyo mwanaume ndo aliyonayo ni halali na ya dini au serikali ? Kimsingi km ndoa aliyonayo ni ya Kikristo basi ujue hiyo ndo mnayotaka kufunga itakuwa batili . Mwisho , katika maisha sio kila unachokitaka au kukipenda lzm ukipate n kuwa nacho ...
  5. OMWAMI2020

    Swali la kufikirisha: Hivi mwanaume unaweza kumgundua mke/girlfriend wako kuwa hapa ametoka kufanya mapenzi na mtu mwingine?

    Mar Mara nyingine inahitaji kumchunguza sana mtu coz inawezaka akakuigizia kwamba anasikia maumivu kumbe chenga la macho tu .
  6. OMWAMI2020

    Ana mimba ya Miezi Nane ya jamaa yake ambaye yupo Mwanza. Leo anatoka Outing na msela wake hapa Dodoma

    Pale unapoamua kuwa mtu ambaye wewe sio mtu wa kwanza ,basi tambua wewe haujawahi kuwa 1st choice . kibaya zaidi ni pale unakuta mtu ana Maex zaidi ya wawili basi jua yupo na wewe kwa kuwa ndo option iliyojitokeza .
  7. OMWAMI2020

    Unatumia mbinu gani kupiga show za kibabe?

    Dah si unashinda ukojoa siku nzima ht show yenyewe hainogi
  8. OMWAMI2020

    Mei Mosi yangu leo na black beauty

    Ndo maana nisikia kiharufu cha gari la maji taka .
  9. OMWAMI2020

    Mei Mosi yangu leo na black beauty

    Dah mkuu umeingia
  10. OMWAMI2020

    Eti "uko na kitambi nikikupea utawezana", seriously?

    K Kwan hili bandiko ni kuhusu kitambi au Asha .
  11. OMWAMI2020

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwikwi kwiiiii
  12. OMWAMI2020

    Kale kanjia nilikosafisha sasa ndiyo barabara

    Komeo Lachuma, Umeitwa na Boss maana hujamalizia uzi !!
  13. OMWAMI2020

    Nitumie Mbinu gani huyu mtoto aingie laini?

    Mchane tu ukweli ya kuwa out itakuwa sehemu ya private. Zen utaona response yake ukiona analeta mambo ya friend zone katisha mazoea nae .
Back
Top Bottom