Je kamanda unajua uchumi hujengwa kwa hatua. Unadhani kuna stage inarukwa au? Unadhani ndani ya miaka mitano tunaweza jenga uchumi tukawapita afrika kusini? Na kama sivyo tutapata wapi uwezo wa kusomesha ghafla kuanzia januari mwakani. Labda kwa hela za wizi na kama siyo wizi lazima tukope na...
Wana jf. Ombwe hili la kuhama hama linaendelea. Tunawatakia kila lakheri. Ili mradi wasije baadae kula matapishi yao, kama walivyomeza matapishi makada wetu wa ukawa
Hizo siyo sera za ukawa sasa hivi. Sera zao chukua kwanza weka kibindoni before its too late. Suala la sijui kugawa au kutogawa shauri yako. Potelea mbali, kwanza weka something then mengine will follow if necessary. Jitayarishe kuchukua matokeo yoyote tu yatakayokuja. Usijipe presha bure ukafa...
Mimi siyo mfuasi wake asilani ila namuonea hiruma mzee huyu at his age what kind of gains you want him to .. he has got nothing to loose at all. Sana sana status yake ndio itaporomoka isivyotegemewa. Na watu watamdharau. Labda kama anataka kukimbilia huko ili ajifiche na madhambi yake aliyofanya...
Nyinyi mnataka kumpoteza mzee wa watu mbona hamna huruma? Mnataka afikie hatua kama aliyo nayo Mrema Lyatonga wa TLP? Nadhani sio washauri wazuri hata kidogo.mnataka kufanya mambo yenu binafsi kwa kutumia mgongo wa huyu mzee, mmeula wa chuya nadhani, ma nitamshangaa sana kama akichukua uamzi...
Mmeshaona wananchi ni mabwege kwa hiyo mnawapeleka peleka tu kama maboga. Ujinga huo wananchi hawaukubali hata iweje iwe. Ni bora kuendelea kuongozwa na chama kilichopo madarakani kuliko kuwapa mijitu eti inasema lengo lao ni kuiondoa ccm madarakani ili na wao wapate nafasi ya kula. Hahahaha...
Mkuu unajua watu ni opportunists sana! Na hasa team lowasa, wamekuwa wakijifanya wanauchungu sana kumbe wanaendelea kumpukutisha mzee wa watu bila huruma. Nashangaa sijui kwa nini mzee hawashtukii. Its very very unfair. Kwa video hii tu ya Dr Slaa kiukweli, lowasa alitakiwa awe mpole tu na...
1954tanu
Pesa is money money money money! Yaani why only Iowasa and not many others ieft behind. Did God reveal to you that he was the one and oniy one! For the post? ??
Weweeee huyo bado ana harufu ya maziwa ya mama yaie. Haweziiii. He is still too young to be given these responsibilities. Unaacha wazoefu i.e prof Baregu, Lipumba, Safari unatutajia watoto hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.