Mkuu naona unafanya attacks zisizo na msingi. Nani amekwambia me sifangi kazi au nashindwa hudumia familia yangu. Hapa siongelei umimi. Ninaongelea nafasi ya pili na ya tatu ambayo wewe na mimi tunajua, wapo watu wana changamoto kiuchumi.
Tunaposema Tanzania si maskini ni kweli Tanzania si...
Ukienda Police na Nyumba za kulala wageni Kabila linaulizwa, hapo mzee anataka kusema ni nani anauliza hiyo? Si ni serikari? Na tahatifa za police usema mtu xyz, mchaga au mhaya au mdengeleo wa .... anashikiliwa na jeshi la police kwa .....
Mkuu una uhakika nchi yetu maskini? Sidhani kama ni maskini. Binafsi nadhani ni usimamizi wetu hafifu au mbovu katika kusimamia rasilimali zetu hasa za asili [madini, gasi,mazao n.k ] na hivyo kushindwa linda au jenga uchumi wa mwananchi wa kawaida.
Embu jiulize uchumi wa wa Tanzania...
Za baadhi ya WaTanzania. Kumbuka TZ ni multi-religion country. Ila wakristo na waislam hujitoa akili wakidhani wao ndo wao pekee. Ila wangeujua ukweli wangetulia tu.
Kwahiyo kwa akili yako unadhani dini ni 2 tu? What about Budhist? Sickhism, Hinduism, African Religions? Au unadhani hawa waamini hawapo na pia wao wangependa wapate masomo juu ya dini zao. Huu Ukristo na Uislam ni kujenga matabaka yasiyo na msingi na sio muhimu. Taasisi za kidini zijitegemee...
Wanaoongoza haribu watoto ni wasanii na redio na TV. Nyimbo zao ni hatari sana kwa watoto. Embu imagine mtoto anaimba nyimbo za Diamond au Zuchu au sijui nani? Na hizi nyimbo zinapigwa kwenye mabaa yaliyojaa mitaani kwa sauti juu hata mzazi ukijitahidi mtoto asiyasikilize au kuyaangalia hayo...
Mto mada umekosea sana.
Tambua haya
1. Nini maana ya noise pollution (Uchafuzi wa Sauti) na athari zake
2. Sheria inasema nini juu kiwango cha Sauti kinachotakiwa zaliswa katika au kutoka eneo fulani (Makazi, Sehemu za Biashara na Sehemu za Viwanda) kwa wakati fulani (usiku au mchana)
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.