Recent content by Omunu

  1. O

    Wanasayansi: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vina uhakika wa 99% kuzuia mimba

    Wanaume tunataka watoto tu, hapa nimeanza tu safari nina watoto wanne, uchoyo wa watu wa Ulaya kuzaa, kumewafanya watu weupe kuwa hatarini kutoweka miaka ijayo, maana waarabu walioenda ulaya ndio wanazaa na kushika ofisi nyingi ambazo zimekosa watenda kazi kwa sababu ya kupungua nguvu kazi...
  2. O

    Ni mkoa gani nchini wenye maeneo mazuri kwa vacation?

    Nenda kisiwa cha Mafia kwa meli
  3. O

    TANESCO yatoa “hongo” kwenye mitandao ya kijamii ili “isishambuliwe”?

    Biashara zinazotumia umeme muwe makini Kama mnatumia generator msije filisika..Kama ni stationery au saloon angalia sana flow ya wateja ndio uwashe generator. Usipofanya hivyo kufilisika kunakuhusu.
  4. O

    Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Binadamu ana kiburi sana akiwa na afya na pumzi. Wanaokatishwa tamaa kwenye safari ya imani humalizwa na shetani kwa namna mbaya Watakaposema wizi si dhambi wataishia kuiba na kupigwa mawe Watakaposema uzinzi si dhambi wataishia kufanya zinaa hadi wapotelee huko Watakaposema ushoga si dhambi...
  5. O

    Mafuta ya Mwamposa yanaweza kumsaidia mtu aliyepooza mwili?

    Kama ni mkristo usiende kwenye hayo mafuta
  6. O

    Hii kauli wanayoitumia wanawake walioumizwa kwenye mahusiano "Wanaume wote ni mbwa" sio nzuri hata kidogo

    Hao baba zao (wanaume) waliomwaga mbegu kuwazaa Kama ni mbwa Basi nao pia watakuwa ni mbwa,maana wametoka kwenye viuno vya "mbwa"
  7. O

    Huu Moto wa Katiba Mpya naona umekolea sana nchi nzima

    Shida ni kwamba kila mtu ana ya kwake anayotaka yawe kwenye katiba hiki kinapelekea kuwa na "Constitution Hijack" na hii inafanya jamii kubwa ya watanzania kutojua nini kilichopo kwenye katiba na kwanini tuibadilishe. Wapo ambao hata mchakato wa katiba mpya ukiletwa watateka Yaliyomo iwe imejaa...
  8. O

    Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

    11 "Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao! " Isaya 5:11 "Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;"Waefeso 5:18
  9. O

    Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

    -Ujue Mvinyo hutengenezwa kwa kukamua maji ya mzabibu kisha hutokea juisi divai -Divai inaweza kuwa juisi isiyolewesha na divai inaweza kuwa pombe iliyokaa mda mrefu na hii huitwa mvinyo. -Yesu alitengeneza juisi ya mzabibu na sio pombe, angefanya hivyo angekinzana na maandoko mengi katika...
  10. O

    Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

    Hivi mchawi anaweza kukuibia hela ulizoweka benki?
  11. O

    Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia: Ukatili kwenye Mitandao na madhara yake

    Vita dhidi ya ukatili huo ianze na wanawake wenyewe. -waache kucheza muziki uchi kwenye vigodoro -Kucheza nusu utupu kwenye video za muziki (utakuta mwanaume kavaa suti mwanamke kavaa chupi) .Tubaki na hizi video za kuingilia privacy. .Wakijiheshimu tutapunguza majanga haya,tuko pamoja
  12. O

    Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano?

    Ukitaka za kisasa ni Kama hio 2,500,000 Tshs mnakaa watu 14,unaitumia masaa 8.Ila Kama akiba iliyopo ndogo mkodi mvuvi na mtumbwi wake 40,000.
  13. O

    Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

    Kazi ya hao ndege ni kusafisha mazingira,wanasaidia usafi -wanyama wafanya usafi wengine ni Bata,tai,mamba,Fisi n.k
  14. O

    Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano?

    Fika soko la samaki ferry,au soko la la samaki kunduchi au soko la samaki Msasani utawakuta maafisa uvuvi, ukitaka mtumbwi utakodisha ukitaka kuvua kwa boti za kisasa fika Dar yatch club/msasani utapata boti nzuri zenye ndoano. Hao. Watakupeleka maeneo ya kuvua
  15. O

    KERO TAZARA (Mfugale FLYOVER) kutofatwa sheria na utaratibu wa barabarani hasa wakati wa usiku imekuwa donda sugu

    Hapo mahali ni kero ukitokea Tabata/ubungo na ukitokea bandarini Ushauri -wanaotokea VETA na Airport sio lazima wapite chini ila wanaopita chini ili kuchepukia Buguruni. - Daladala wnaotokea airport wanaleta jam maana kuna kituo hapo Azam kinapunguza kasi ya mtiririko mataa yanaporuhusu watu wa...
Back
Top Bottom