Hi Members wote wa jamii forum!!!!!!! Naitwa Yusuf nasoma chuo cha uuguzi Manyara' napenda kuulizia kwa wale mnaosoma vyuo vya afya hususan vya Government, ethi pesa ya chakula huwa mnatoa shilingi ngapi kwa siku au kwa mwezi?
Naombeni msaada!!!!!!!!!!!!!!!!!!.....
.......
Sorry Wadau! Kuna mdogo wangu alipata ufaulu wa Four ya 27 huku akipata D flat ya masomo ya Science na amepelekwa SENGEREMA SCHOOL OF NURSING, Jamani anayekifahamu chuo hiki anijuze
-College fee pa1 na mambo mengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.