Ndugu zangu makamanda na wapenda mabadiliko ninawaomba sana kuwa makini kupokea habari mbali mbali zinazozushwa na Vyombo vya Habari hususan Magazeti kama vile Jambo Leo, Tazama, Jamuhuri Uhuru na Mengine kama hayo.
Magamba wakiongozwa na Nape wako kazini kumdhoofisha kwanza Dr. Slaa na Chadema...
poleni sana vipofu mliobahatika kuiona nuru, japokuwa fikra zenu bado zinawaza kuwa hamjauona Mwanga. Karibuni CHADEMA tukomeshe hali kama hiyo nchini na kunusuru kodi za wananchi kutotumika katika mambo ya ovyo:lol::lol::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.