Tutaona kama ni kweli.
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.
Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.
Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.
Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).
Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi NDANI NA NJE YA CCM
UPDATES
1.Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama
2.Wenyeviti wa mikoa CCM na Jumuia zake kukutana kwa dharura kubariki maaumuzi ya vijana wao
3. Yapendekezwa kuwa Kanda ya Ziwa igomee uchaguzi wa Wazazi na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

4.MKOA wa Mbeya wajitokeza nao kuungana na Kanda ya Ziwa kupambana na Uongozi wa Kifisadi uliosimikwa hakika sasa mapinduzi ya kweli ndani ya chama yanakwenda kutokea

Okay, nyie mlikuwa mnamtaka nani?