Recent content by omoyo

  1. O

    Amatus Liyumba na Mkewe wagombea mali

    Waswahili bwana! Yasiyowahusu ndio kimbelembele ile mbaya....
  2. O

    Ponda hali mbaya

    Kufa kwake ni mapenz ya Mungu na kila kitu kitakufa na tutambue hakuna nafuu ya kifo ila kwa watendao mema, so usishabikie kifo cha mwenzako, jiandae na chakwako.
  3. O

    Mbunge Wenje kuburuzwa Mahakamani kesho kwa uchochezi!

    Hakuna cha ajabu Wenje kufikishwa mahakaman, hili ndio tatizo la wanasiasa fata mkumbo walivyo, badala ya kuleta maendeleo wao ni ghasia na uchochezi tuuu, hebu tuzinduke watanzania! Hakuna heri Cdm ila bora jini likujualo...
  4. O

    Madawa ya kulevya: Watanzania watatu wauawa nchini Afrika Kusini!

    Kuwaua watumiaji hatutamaliza tatizo kukata mzizi wa fitna ni kuwaua wabebaji na wanaobebea.
  5. O

    Aliyemuua bilionare Erasto

    Hatimaye aliyemmiminia risasi 21 Erasto akamatwa ni mtu wake wa karibu sana na alishawahi fungwa miaka sita kwa ujambazi.
  6. O

    salaam wana JF

    Nawasalim nyote wanna JF mlio mstari wa mbele kuhakikisha maslahi ya nchi kwanzam mengine yafuate naomba nitambuliwe uwepo wangu. Shukran
Back
Top Bottom