Recent content by OmmyQ

  1. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha Literature & History

    natafta shule ya kfundisha literature & history! kwa sasa npo dar es salaam. for more information call 0752358919
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Literature & History

    natafta shule ya kfundisha masomo ya literature &history. kwa sasa nipo dar es salaam! for more information call 0752358919
  3. O

    JamiiForums Tanzania Selection Kidato cha Tano 2014/2015: Majina yote haya hapa

    jinsi yakuangalia wapi ukapangiwa ingiza neno MPEKUZI kwenye google baada ya apo utaona kipengele kinacho kuhusu. kazi ni kwako!
  4. O

    JamiiForums Tanzania udsm booom

    njaaaaaaaaaaaa!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Udsm booom!!

    wana udsm mnaoneje tuweze kuungana pamoja ili kudai haki zetu za misingi tukianza na BOOOM? ebu tuache uwoga banah kwani tusip o angalia hati mae mpaka ------ yetu yatashikwa kiurainii!
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kwa continous students udsm from CASS

    tumekupata mkuu!
  7. O

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki

    hakika chadema naichukia
  8. O

    JamiiForums Tanzania HESLB Kutoka Jikoni kabisa

    hizi taarifa ni za kweli kwani ata mie nimezipata kwa bro yupo anafanya kaz bodi ya mkopo wakuu!
  9. O

    JamiiForums Tanzania ILBORU SEC SCHOOL chini ya jeshi la polisi kuanzia muda huu!

    hii inanikumbusha mwakaleli high school enzi zetu! Omba yasikukute
  10. O

    JamiiForums Tanzania Industrial eng. Udsm

    poleni kwa mnao soma vyuo vya kata! Kwani mkiona jina udsm huwa linawakumbusha jinsi lilivyo vunja ndoto zenu!
  11. O

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Kinana ahitimisha ziara yake ya kuimarisha CCM Shinyanga kwa kishindo

    nakupenda sana chadema ila ccm ndo naikubali zaidi! Mbona unahaha baada ya kusoma ujumbe huu? Ka vip na ww toa ya moyon haya ni yangu ata hayakuhusu! Chadema chama chawahuni wachache kinacho rubuni akiri za wachache ukiwemo wewe unae taka upingane na mm.
  12. O

    JamiiForums Tanzania EAC political federation opens in Kampala

    waache wahangaike
  13. O

    JamiiForums Tanzania boom boom boom boom

    chezea maisha ww!
  14. O

    JamiiForums Tanzania Balaa: Masters UDSM na Mzumbe zapanda bei

    sababu ya kupandisha ada ya wanafunzi wa masters ni baada ya kugundua yakuwa wanafunzi kibao wanahitaji kupata masters zao toka udsm na wengi wao wakiwa wa nje yanchi na wahapahapa bongo pia!
Back
Top Bottom