waziri
Hivi kwanini Uhuru aliamuru Assasination ya Professor Saitoti aliekuwa mgombea mwenza?Kagame kenyatta m7 na wanao wasupport wote kihistoria wana matatizo kibao. Mikono yao damu zimemwagika. Ni afadhari ya hayawani. Wana lengo gani na leo ni sept 11?. Magaidi wakubwa
Deluded!!Hii yote ni pressure ya Kenya kuogopa kua overtaken na TZ kiuchumi, geo-strategic, na kisiasa....Kenya stands to benefit the most kuliko hawa wengine...upande wa Kagame anataka tu kinga ya political federation inapokuja mambo ya usalama wake binfasi (labda kesi kwa vurugu zake DRC) na usalama wa Rwanda ambao uko fragile kutokana na historia ya chuki ya ukabila na umiliki wa rasilimali haswa ardhi.
kuna mwandishi aliandika East African ya wiki iliyopita :-
http://www.theeastafrican.co.ke/OpEd/comment/Coalition+of+the+willing+Using +the+EAC+stick+to+beat+Tanzani a/-/434750/1983028/-/view/printVersion/-/54nn7n/-/index.html
.....this eac (without tz) foreign ministers' meeting is a follow up to the recently held technical meeting in mombasa....cha kuchekesa ni kumwona juzi membe akijigamba eti wamewaandika wenzao barua....tene eti kuwaomba wawaambie walichokuwa wanaongea kwenye hii mikutano.....this is pure nonsense by membe.....yaani uambiwe wenzako wanachozungumza!!wakati kila kitu kinawekwa public...yaani membe anaomba aambiwe kinachozungumzwa kwenye mikutano hii wakati hata eac joint communique (without tz)imewekwa public......
..tz is already behind on the eac issue...tupende tusipende.....nimeona hata rwanda sasa wameilazimisha tz kushusha kodi ya magari ya rwanda yanayoingia tz.....baada ya rwanda kupandisha ya kwao hadi $500.....tz tumebaki kuombaomba tu...kwenye kila issue.....with all the ----'n massive resorces we have.....
kabla ya kuendelea na jumuiya ya afrika mashariki. Watz tuulizie mgao wa ile iliyo vunjika. Tujue tulikuwa na mali kiasi gani na tugawane sawa bin sawia. Baada ya hapo tujue hii ya sasa nayo ikivunjika tutagawana vipi. Nasema hivi kwani naona eac imesha vunjika tunachosubiri ni matamko tu.]
JAMANI WATANZANIA TUNAFUATA NINI HUKO BAHIMA EMPIRE aka EAC???????????HAWA WATU WANANUKA DAMU!!!TUNAFUATA KUNUKA DAMU FOR SURE......this EAC (without TZ) foreign ministers' meeting is a follow up to the recently held technical meeting in Mombasa....Cha kuchekesa ni kumwona juzi Membe akijigamba eti wamewaandika wenzao barua....tene eti kuwaomba wawaambie walichokuwa wanaongea kwenye hii mikutano.....this is pure nonsense by Membe.....yaani uambiwe wenzako wanachozungumza!!wakati kila kitu kinawekwa public...yaani Membe anaomba aambiwe kinachozungumzwa kwenye mikutano hii wakati hata EAC joint communique (without TZ)imewekwa public......
..TZ is already behind on the EAC issue...tupende tusipende.....Nimeona hata Rwanda sasa wameilazimisha TZ kushusha kodi ya magari ya Rwanda yanayoingia TZ.....baada ya Rwanda kupandisha ya kwao hadi $500.....Tz tumebaki kuombaomba tu...kwenye kila issue.....with all the ----'n massive resorces we have.....
.....this EAC (without TZ) foreign ministers' meeting is a follow up to the recently held technical meeting in Mombasa....Cha kuchekesa ni kumwona juzi Membe akijigamba eti wamewaandika wenzao barua....tene eti kuwaomba wawaambie walichokuwa wanaongea kwenye hii mikutano.....this is pure nonsense by Membe.....yaani uambiwe wenzako wanachozungumza!!wakati kila kitu kinawekwa public...yaani Membe anaomba aambiwe kinachozungumzwa kwenye mikutano hii wakati hata EAC joint communique (without TZ)imewekwa public......
..TZ is already behind on the EAC issue...tupende tusipende.....Nimeona hata Rwanda sasa wameilazimisha TZ kushusha kodi ya magari ya Rwanda yanayoingia TZ.....baada ya Rwanda kupandisha ya kwao hadi $500.....Tz tumebaki kuombaomba tu...kwenye kila issue.....with all the ----'n massive resorces we have.....
tatizo ni siasa za wabongo hili na makala zingine wanazipuuzia ambazo zinawapa ukweli kuhusu nchi yao..ndio maana JK kawaambia kwamba akiondoka by 2015 ndiyo watakubali mambo yakeHii yote ni pressure ya Kenya kuogopa kua overtaken na TZ kiuchumi, geo-strategic, na kisiasa....Kenya stands to benefit the most kuliko hawa wengine...upande wa Kagame anataka tu kinga ya political federation inapokuja mambo ya usalama wake binfasi (labda kesi kwa vurugu zake DRC) na usalama wa Rwanda ambao uko fragile kutokana na historia ya chuki ya ukabila na umiliki wa rasilimali haswa ardhi.
kuna mwandishi aliandika East African ya wiki iliyopita :-
http://www.theeastafrican.co.ke/OpEd/comment/Coalition+of+the+willing+Using +the+EAC+stick+to+beat+Tanzani a/-/434750/1983028/-/view/printVersion/-/54nn7n/-/index.html