Recent content by Ommie2009

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

    Mbowe ni raia km walivyo raia wengne wa TANZANIA hvyo ana haki ya kueleza ama kushauri awezavyo ama kuzungumza ilmrad hapingan na katiba.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Manyanya: Mtoto hajui Kusoma, Kuandika na Kuhesabu, Mwalimu Mkuu kazi huna

    Kwan hafahamu kazi za mwalimu huyu mama eeeh!
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ni aina ipi ya simu ni bora zaidi?

    Nahitaj cm bora yenye gharama (bei) ya kawaida yaani kati ya 100000 na 150000/=. Je ni aina gani ya cm wadau inafaa zaidi?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Bwawani Karatu: Mkutano wa kampeni CCM - Oktoba 5, 2015

    Magufuli ni kweli hana ufahamu mkubwa wa siasa za kitaifa na kimataifa. daah anataka kujenga viwanda vya vitunguu na sandolizi (anamaanisha nn hyu jamaa). Chadema, cuf, UKAWA, CCM, NCCR-MAGEUZI¤¤¤UKAWA ndio chama gan tena pombe? jamaa kavurugwa,
  5. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Bwawani Karatu: Mkutano wa kampeni CCM - Oktoba 5, 2015

    Jamaa hajiamini, hafai kutuongoza. Juu ya ulinzi alionao jukwaani bado anaonesha kuwa hajiamini.
  6. O

    JamiiForums Tanzania UKAWA wanyaka nyaraka juu ya Mpango wa kifisadi wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa

    Kazi tunayo watz, twaibiwa hvhv na chama cha majangili jaman daah!
  7. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Mmmmh serious!! we ucpate shida ya ku-send hyo private message, nipandie kwa hii +255712434148
  8. O

    JamiiForums Tanzania Upweke umenishinda jaman!

    Habarin wana jf, mm n mvulana mwenye sifa hzo hapo chin, ninahtaj mchumba popote pale tz kwn upweke umenishnda bandugu; Umri: 28, Elimu: shahada-elimu...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki!!

    Habar wana jamvi!! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninatafuta rafiki wa kike popote pale tz!! Aliye tayari tuwasiliane kwa; +255782047072!!
  10. O

    JamiiForums Tanzania Siku nne tu!

    Daah! ushauri tu ndg yang, onana na matron au patron, waeleze tatizo lako, nadhan watakusaidia
  11. O

    JamiiForums Tanzania Siku nne tu!

    Daah! ushauri ndg yang, onana na matron au patron, waeleze tatizo lako, nadhan watakusaidia
  12. O

    JamiiForums Tanzania Baridi kama maiti

    Mmmmh, weng tunayo hayo
Back
Top Bottom